Sasa hapo mwamba Kenyatta katisha Suti na makubathi dah imekaaje hiyo[emoji1787]yaani hapo nyerere ndiyo anaonekana president hao wengine wamekaa hovyo kama omba omba
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Sasa hapo mwamba Kenyatta katisha Suti na makubathi dah imekaaje hiyo[emoji1787]yaani hapo nyerere ndiyo anaonekana president hao wengine wamekaa hovyo kama omba omba
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hiko chuma kingine kinachokuja nini?
Iko age limit ambayo ni 8 years but we discourage importation of cars over 8 years by tax increase.Unajibu nini na Website ya TRA inaonyesha vizuri bongo hakuna age limit restriction.
Drc wanajisumbua tu haoSS mzigo wake 80% unapita Sudan kama ilivyo mafuta yake yote.
Cha kushangaza mnajihangaisha na DRC huku SS kawashinda
Jukwaa la siasa lipo lakini hao wanaoleta habari za siasa humu uwakuti kule,utakuta wanaleta humu,mara wamponde magu mara wamponde SSH,wanazingua sana!Hili sasa limekuwa jukwaa la kupiga siasa na kuibagaza nchi yenu, wabongo mnapenda sana kujichoresha, sijawahi kuona wenzetu wanaleta posts za kikuda kama hizi humu, mnacheza na adui alafu mnajipiga magoli? alafu mnajiita Wazalendo? Majukwaa mengine hamyaoni? Mambo ya kisenge sana haya.
Hakuna age limit ya magari bongo. Wacha mambo mingi.Iko age limit ambayo ni 8 years but we discourage importation of cars over 8 years by tax increase.
inaamaana huoni tarehe au unaburudisha jukwaa?Hiko chuma kingine kinachokuja nini?
Mbona leo nimeiona hii Rubondo-Island pale TB3?
Hii Rubondo-Island ipo mkuu.Hiko chuma kingine kinachokuja nini?
Rais si alisema lazima vitu vipande bei unategemea nn tena, hapo wanamjaribu akikubali tu kaisha ategemee migomo kila sekta, we subiri ajae alafu utaona.Awamu hii kila sehem unapigwa mwingi asee.. [emoji91]
Ndo kupigwa mwingi huko mkuu 🔥Rais si alisema lazima vitu vipande bei unategemea nn tena, hapo wanamjaribu akikubali tu kaisha ategemee migomo kila sekta, we subiri ajae alafu utaona.
Hatimaye Serikali ya Samia yazidi kuupiga mwingi kwa kutimiza ahadi ya kutoa ajira zaidi ya 32,000..Maneno kwa vitendoNdo kupigwa mwingi huko mkuu 🔥
Kenya hawajitambui, walijistukia kuona nchi nyingi za Africa zimejitenga na msimamo wa KenyaMnafiki in his true colors
![]()
Nairobi declines Ukraine’s plea to address Kenyan Parliament
Diplomats in Nairobi say they have been doing enough already through the UN Security Council.www.theeastafrican.co.ke
Awamu hii kila sehem unapigwa mwingi asee.. 🔥
Mwenye nchi hana hata sauti, yuko busy usa kuzindua royal tour
Acha tureee na nyie mpasuke,zamu kwa zamu..Watanzania ukiwapa upenyo wanakulalia kweli 😂😂 sasa hii awamu ya kula kwa urefu wa kamba yako daah watu wanafaidi kwelii
Awamu hii kila sehem unapigwa mwingi asee.. 🔥
Mwenye nchi hana hata sauti, yuko busy usa kuzindua royal tour