ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
sio naponda shida yenu munahara topeSi ati sitaipenda ..Tatizo unaponda wa kenya ilhali kwenu pia mambo si mazuri...only time will tell wacha tuone kama Mtaja pata faida..
wanasema bata hata ukimpa kokoto ataharisha tu 🤣🤣🤣👇👇👇👇
😂😂😂😂 kinachowauma nyinyi sisi kununua ndege mulitaka tukodi zenu chakavu?? kq ina miaka 50 inamiliki ndege tatu chakavu serious??
yani shirika limeingiza hasara ya 15.8b ksh(140m usd) na bado kuna pesa imetumika kuliwezesha shirika 50b ksh (450m usd) tena ni loan
hvi mulirogwa na shetani gani🤣🤣


