The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Hata ifike million utanunua tuu,hutaki uza Cha kwako Kwa bei ya chini au hamia bei ilikoshuka.Nauli lazima zipande hawa hili swala la mafuta wanalichukulia simpo sana na hapo bado bei ya vyakula haijaanza kupanda na itapanda tuu ni swala la mda
Sisi tunaendelea na Kazi 👇


