Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Mama anaupiga mwingi asikwambie mtu, sukuma gangs imekula kwenu rudini Chato [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ni kuyavumilia tu, ni majinga mnoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Keep on dreamingMambo yanavyoenda TPA itakuja kupindua meza kwa KPA kwenye cargo
MY TAKE
So far EACOP itapita Tanga, SGR Tanzania Dar-Mwanza (80% of the whole length is underconstruction)
SGR Uvinza-Msongat-Gitega-Bujumbura-Uvira-Kindu fedha zimepatikana toka AfDB Bank na tender ipo katika manunuzi!
Hili sasa limekuwa jukwaa la kupiga siasa na kuibagaza nchi yenu, wabongo mnapenda sana kujichoresha, sijawahi kuona wenzetu wanaleta posts za kikuda kama hizi humu, mnacheza na adui alafu mnajipiga magoli? alafu mnajiita Wazalendo? Majukwaa mengine hamyaoni? Mambo ya kisenge sana haya.
mbona hii hujapost kwamba imepunguza loss from 60b to 36b ww huoni gap kubwa sana hilo ??😂😂😂👇👇👇Yani ndege mbili tu insleta hasara ya Ksh 2.1B[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787], I wonder the size of loss the entire fleet incurred [emoji23][emoji23]View attachment 2186175
Mama anaupiga mwingi asikwambie mtu, sukuma gangs imekula kwenu rudini Chato 😂😂😂😂😂
Alichagua inayomfurahisha, kwa taarifa yake tu ni kwamba imebaki miaka michache kabla ATCL haijaanza kupiga faida mana biashara ni nzuri sana.mbona hii hujapost kwamba imepunguza loss from 60b to 36b ww huoni gap kubwa sana hilo ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2186341
Watu wanatekeleza 'kula kwa urefu wa kamba zao'
yaani hapo nyerere ndiyo anaonekana president hao wengine wamekaa hovyo kama omba omba
Wacha kuamisha goal, point ni tunayo age ristriction.....bila kujal ni ya 12 yrs au 8yrs wachwna na dharau za kitotSasa mnakataza gari za 2010 ambayo ni 12 years ago wakati sisi tumekataza gari za 8 years ago kuingia? Sasa mlikuwa mnatudhalilisha kwa jambo gani ikiwa tuko better than nyinyi kwenye hili swala?
We pimbi 2010 to nw unajua ni age defference ya 12 yrs?....peleka wehu mbalWacha uongo, Tanzania bado unaweza import hata over 10 years while Kenya its totally illegal.
Tanzania Revenue Authority - Excise Duty on Motor vehicles
Tanzania Revenue Authority websitewww.tra.go.tz
To answer your quastion its yes tunaingiza gari ya 10 yrs oldWacha uongo, Tanzania bado unaweza import hata over 10 years while Kenya its totally illegal.
Tanzania Revenue Authority - Excise Duty on Motor vehicles
Tanzania Revenue Authority websitewww.tra.go.tz