Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kuropoka kma umelew , uliza kwanza Tz gari ya under 2010 wametangaza kuzuiw kuingia nchini
Sasa mnakataza gari za 2010 ambayo ni 12 years ago wakati sisi tumekataza gari za 8 years ago kuingia? Sasa mlikuwa mnatudhalilisha kwa jambo gani ikiwa tuko better than nyinyi kwenye hili swala?
 
Sijui kwa nini unagandia imports pekee. Hio statistics niliyokupatia inajumuisha both imports na exports. Yaani imports na exports inayopitia Mombasa port ni 35 million tonnes. Imports na exports zinazopitia Dar Slum port ni 17 million tonnes. Sikuwa nazungumzia imports pekee bali both imports and exports.
Wakati huo sisi hatuimport chakula, je na wewe unaweza sema hivyo? Chakula ni basic need mtake msitake mtaimport tuuu,wakat sisi tuna tumia tulicho zalisha , na kuingiza kidogo tusicho zalisha ...wala akuna haja ya kubisha na ukweli uko wazi
 
Watu wapumbavu wamejaa kwenye huu uzi siku hizi. Yaani watu wamewacha kudebate kutumia facts wanatumia ujinga kudebate. Sasa hii nchi ya Tanzania ambayo bado inaruhusu magari zaidi ya 10 years baada ya year of manufacture ndio tunaambiwa kwamba ina gari mpya nyingi? Kenya ndio nchi pekee EA ambayo imeweka age restriction on imported cars. Uzi huu umeharibiwa na vichaa.

Imebidi niquote hii paragraph hapa chini

Uganda’s move is a measure to bring the country’s car age limit closer to the EAC resolution that had recommended the slashing of the age limit for imported cars to five years by 2021.
It was only in 2018 that Uganda passed a law limiting the importation of vehicles manufactured more than 15 years ago.

Eight years​

Kenya has been pushing regional countries towards adopting the EAC recommendation and has already announced plans to limit the age of used vehicles with engine capacity above 1500cc imported to five instead of the current eight years.
Tanzania allows imports of cars as old as 10 years while Burundi, Rwanda, and South Sudan, on the other hand, have no formal age limits for used cars. The different set of age limits within the region has fuelled tax and regulatory arbitrage to ship in cheaper and older cars.
Hata Tanzania had an age limit of 10 years but two years ago was reduced to 8 years.
 
Mnapenda cooked data wakati the truth is hamna mafuta . Chakula mzozo , na maziwa as well . Nimeona hadi rais Kenyatta kumruhusu raisi wa ukraine a.k.a the comedy asihutubie bunge la kenya. Anaogopa kugombana na urusi
ukweli unabaki pale pale, mko mlivyo, facts hazidanganyi, ya Kenya tunayajua wenyewe.,jifunze kuzoea ukweli.😛😂
 
Kwaiyo unamanisha serikali yenu inachia tuu watu wamiliki silaha kiolela? Au ww ndio mpuzi unae jitetea kma mwehu? Wacha kuongea upuzi kwaiyo hao watu wa human right wasababishe kuatarisha maisha ya watu kwa kutetea upuzi?
jiulize kisha jijibu
 
ukweli unabaki pale pale, mko mlivyo, facts hazidanganyi, ya Kenya tunayajua wenyewe.,jifunze kuzoea ukweli.😛
Mngekua wa kweli mngemruhusu zelelsky ahutubie bunge lenu . Haiwezekani serikali moja mara mnasupport mara mnakua vigeugeu
 
Sasa unalazimisha kwamba ninyi ni logistics hub wakati sio? Mnakuaje logistics hub wanakati ni Uganda tu mnaihudumia?
Hakuna mtu analazimisha, hauwezi kulazimisha ukweli ama ku force uongo ionekane ukweli..., fanya utafiti, ukipata sehemu Tanzania inatajwa kua logostics hub ya EAC as at now tag me please, try to understands factors that make a country to be mentioned as a main logistics hub, hizi fikra zako uchwara ziwache kule unakoshinda vijiweni.., afadhali Rwanda are positioning themselves to be a hub with underlined developments,.., kama unajua maana ya hub.,
 
Wakati huo sisi hatuimport chakula, je na wewe unaweza sema hivyo? Chakula ni basic need mtake msitake mtaimport tuuu,wakat sisi tuna tumia tulicho zalisha , na kuingiza kidogo tusicho zalisha ...wala akuna haja ya kubisha na ukweli uko wazi
Ata tukiondoa all food imports kupitia Mombasa port, bado Mombasa port itaizidi Dar port tena kwa mbali in terms of exports and imports.., usijitekenye😛😂
 
Kwa malazy wanaojaribu kutudanganya kwamba Tanzania ina age restriction ya imported vehicles someni hapa kutoka kwa TRA.
Mnaruhusu hata gari lililoundwa miaka 15 iliyopita.
Cc Justinr coodip1

Importation of used motor vehicles and spare parts



In addition to excise duty on motor vehicle charged based on cyclinder capacity,imported used motor vehicles are charged extra Excise duty as follows





  • used vehicles excluding agricultural tractors aged 8 years but not more than 10 years charged at the rate of 15%
  • used motor vehicles aged more than 10 years from the year of manufactures charged at the rate of 30%.
  • used buses aged more than 5 years from the year of manufactures charged at the rate of 10%.
  • used spare parts for motor vehicles and motor cycles the rate is 25%
 
kitambo nilifikiria hizo magari within Kenya ambazo ziko na foreign plate numbers za TZ,SSD na UG ni ya foreigners until in 2015 when I realized actually ni ya wakenya ambao wanazinunua huko walete huku especially because of hizo age restrictions na maybe import duty per se

IMG_1188.jpg
 
Back
Top Bottom