Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Greenpark terminal

1649854216844.jpg
1649854257921.jpg
1649854238289.jpg
1649854148158.jpg
1649854155466.jpg
1649854117618.jpg
1649854127122.jpg
1649854120885.jpg
1649854123850.jpg
1649854158464.jpg
1649854204647.jpg
1649854212240.jpg
 
Kenya to the world. One of the only two African countries playing in the HSBC World Series. And just to remind our lazy sourtherners, we have even become World Champions in it. This weekend we are heading to Vancouver. All the best Shujaa

FB_IMG_1649857130235.jpg
 
Hakuna nchi nyingine tofauti na Uganda inayotegemea bandari yenu, zingine zote zaidi ya 90% ya mzigo wao unapita bandari nyingine tofauti na Mombasa sasa huo ulogistics hub mnautoa wapi?
Wewe ni kichaa. Sasa kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani ipo karibu na South Sudan? Utakuwa ulianguka somo la jiografia wewe.
 
SS mzigo wake 80% unapita Sudan kama ilivyo mafuta yake yote.

Cha kushangaza mnajihangaisha na DRC huku SS kawashinda
Naomba twende taratibu. Hapa tunazungumza kuhusu Kenya na Tanzania. Kati ya hizi nchi mbili ni nchi gani inayopokea mizigo nyingi ya South Sudan?
 
Mambo yanavyoenda TPA itakuja kupindua meza kwa KPA kwenye cargo


MY TAKE
So far EACOP itapita Tanga, SGR Tanzania Dar-Mwanza (80% of the whole length is underconstruction)
SGR Uvinza-Msongat-Gitega-Bujumbura-Uvira-Kindu fedha zimepatikana toka AfDB Bank na tender ipo katika manunuzi!
 
Mafuriko yanasababisha vifo huko SA. Sasa sijui kama team roho mbaya pia watasherehekea hili janga kama ambayo wao husherehekea majanga yanayotokea Kenya?

 
Back
Top Bottom