Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony254 Tanzania doesn't import maize

View attachment 2185944
Yaani unatumia a one off thing kilaza?.., show how many times Mombasa port has been used to import maize?.., get the data uangalie percentage ya goods imported.., mko down ukubali ukatae.., mko hovyo in comparison, u can't prove otherwise, ama unipe solid data ya kuonyesha mko nafuu ukilinganisha, weka hapa nagoja🤣😂😂😂😂😂
 
Mnachoingiza kwa wingi pamoja na vyakula na misaada mingine

Kikubwa ni edible palm oil (mafuta ya kupikia) by 99%

Kwa Tanzania 70% ya edible oil is sourced locally

Tatizo lenu akili ya kuanalyze mzigo wenu hamna ninyi ili mradi tu number iwe kubwa
Punguza hasira. Wewe ndio ulianza kwa kudanganya watu hapa kwamba Tanzania ndio logistics hub Afrika Mashariki. Nikakuonyesha jinsi Port ya Mombasa inahandle mizigo mara dufu ya Dar Slum port. Sasa unaanza kulia tena eti mizigo yetu nyingi ni imports. Haijalishi kama ni import au export bora tumeelewana kwamba Kenya ndio king wa logistics ukanda huu.
 
Tanzania is a consuming economy kama hauna taarifa., alafu pia ujue consumption pia inaweza kutumika kama kigezo cha kuonyesha uwezo wa uchumi wa nchi ama mtu binafsi, ndio maana budget ya fukara kama wewe uwezi linganisha na budget ya tajiri when going for shopping.,😂😂😂
Halafu USA is a consumption led economy. Consumption ndio inadrive economy ya USA. Kuna watu wajinga huku wanajifanya werevu.
 
Wakati unasubiria election sisi huku tunasaini mikataba Congo Rwanda na Burundi na hela ya ujenzi imeshapatikana AfDB sasa sijui sgr yenu mtaipeleka wapi maana lazima uganda atumie dar port through lake Victoria and a new route from Keza upande ule utakuwa na mizigo mingi cause of oil and gas activities. Tanzania can import refined petroleum ftom Uganda through sgr.
Hizi pambio mtaziimba tu.., wacha mradi uanze na ukamilike, ikija ni Kiswahili, yani domo domo bila meaningful results hamjambo😂😂😂
 
Ngombe kafa no one is prepared to invest billions of dollars in a useless and outdated technology. Uganda has been cleverly delaying SGR Kenyan connection to assess the end products of both northern and central corridors as far as sgr is concerned but as of now I think jibu wanalo and it is their choice to choose between inefficient outdated sgr and efficient and modern sgr
Mkuu Kama Kuna Bar hapo jirani kula Bia na unipe namba ya simu ya muhudumu aliyekuhudumie(chagua mzuri) nimrushie muamala
 
Malizeni kilomita mia mbili kwanza (200km) Ni miaka mingapi tangu ujenzi uanze? ni ndoto mnazo., watch after election how things will pan out as far as SGR is concerned..,
Kwahiyo wakati mliposimamisha ujenzi wa reli kule porini "almost two years back" kulikua na election?, tatizo ni pesa, na election itatumia pesa nyingi zaidi, ninyi hamuwezi kufanya lolote bila kukopa
 
Mwenzako kasema mizigo mingi sana in EA, usigeuze gear hewani.., Mombasa port inahudumia karibia nchi zote za EAC hadi Tanzania.., only percentage of goods differs in comparison.., ama hauna taarifa? mbona mnapenda kujitia hamnazo ikija ukweli?
View attachment 2185835
Onyesha by % wacha maneno Burundi 99%, Rwanda 90%, Uganda 22%, Eastern DRC 80%, Zambia and Malawi 90% each, Zimbabwe 2% wanatumia bandari ya Dar
 
Punguza hasira. Wewe ndio ulianza kwa kudanganya watu hapa kwamba Tanzania ndio logistics hub Afrika Mashariki. Nikakuonyesha jinsi Port ya Mombasa inahandle mizigo mara dufu ya Dar Slum port. Sasa unaanza kulia tena eti mizigo yetu nyingi ni imports. Haijalishi kama ni import au export bora tumeelewana kwamba Kenya ndio king wa logistics ukanda huu.
Yaani unatumia a one off thing kilaza?.., show how many times Mombasa port has been used to import maize?.., get the data uangalie percentage ya goods imported.., mko down ukubali ukatae.., mko hovyo in comparison, u can't prove otherwise, ama unipe solid data ya kuonyesha mko nafuu ukilinganisha, weka hapa nagoja🤣😂😂😂😂😂
Nimewapa data naona mnajibu mipasho, endeleeni kupokea chakula cha misaada huku mnasema eti ninyi logistics hub 😂😂😂

Nchi pekee mnaizidi Tanzania kwa kuihudumia ni Uganda tu, huku Tanzania ikikuzidini kuihudumia Rwanda, Burundi, DRC na bado hamuifikii Zambia, Malawi, Mozambique, Zimbabwe

Tanzania tunaihudumia mpaka South Sudan jirani yenu kabisa.
 
20 whether u like it or not..,ukinunua gari kwa mkopo, gari ni yako, itamilikiwa na benki wakati unashindwa kulipa, ama vipi? kalilie kwa choo
Kama hujamaliza mkopo gari sio lako , unajua maana kamili ya "Kununua?"
 
Jana mara mbili nilimuita ichoboy01 aje atupatie maoni yake kuhusu hili render lakini anajifanya kipofu halioni render hili. Wacha nimsamehe kwa leo. Hii ndio mara ya mwisho napost hii render ya ichoboy 😅😂😆

1649839615923.png
 
Mnachoingiza kwa wingi pamoja na vyakula na misaada mingine

Kikubwa ni edible palm oil (mafuta ya kupikia) by 99%

Kwa Tanzania 70% ya edible oil is sourced locally

Tatizo lenu akili ya kuanalyze mzigo wenu hamna ninyi ili mradi tu number iwe kubwa
Weka Data ya Kenya ports authority hapa ku support hizi fikra zako tuone, unapenda propaganda na kuikweza Tanzania ninayo ijua zaidi ya wewe😂😂😂..., last I checked we manufacture more cooking oil than any country in EAC na pia tunaagiza kwa wingi due to the highest consumption in the region., nyie ni wengi lakini mna consumption rate ya 570,000 tonnes Kenya consumes almosdt same ama slightly higher na mko zaidi yetu na karibia watu millioni kumi!, nyie ni watu wa mihogo na maharage kweli😂😂😂., alafu unadanganya eti kwa Tanzania 70% of edible oil is sourced locally, tangu lini?🤣🤣😂😂😂😂
1649839344770.png

1649839361859.png

1649839373631.png
 
Nimewapa data naona mnajibu mipasho, endeleeni kupokea chakula cha misaada huku mnasema eti ninyi logistics hub 😂😂😂

Nchi pekee mnaizidi Tanzania kwa kuihudumia ni Uganda tu, huku Tanzania ikikuzidini kuihudumia Rwanda, Burundi, DRC na bado hamuifikii Zambia, Malawi, Mozambique, Zimbabwe

Tanzania tunaihudumia mpaka South Sudan jirani yenu kabisa.
Wacha ushamba wewe nawe. Logistics hub hatuangalii idadi ya nchi mnayohudumia bali idadi ya mizigo mnayohandle. Wewe unajua maana ya logistics hub kweli? Halafu Drc, Rwanda, South Sudan pia zinahudumiwa na Mombasa port. Halafu wacha uongo. Import nyingi ya South Sudan zinapitia Mombasa port sio Dar Slum port.
 
Hii sasa iwe kweli maana kamba zimesidi

View attachment 2185877
Mkuu, hiyoni train ya majaribio, inaweza kuchukua tena miezi miwili hadi 6 kabla ya safari za abiria kuanza rasmi, tena zitaanza treni za mizigo kabla za abiria, kumbuka kwamba the"tender" ya ununuzi wa trains zenyewe ilichelewa Sana kutolewa.
 
Uchumi hafifu mambo lazima yajikokote😛😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom