Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Kumbe huko Tanzania mnaita tuktuk vipanya?Jamaa mpk vipanya vinaingia CBD kwani haukuwa na taarifa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe huko Tanzania mnaita tuktuk vipanya?Jamaa mpk vipanya vinaingia CBD kwani haukuwa na taarifa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MY TAKE
Wahenga walisema kutangulia si kufika japokuwa Wakunya walianza ujenzi wa SGR ilipofika phase II ikagota! Saahii electric SGR Tanzania ipo phase ya nne (the longest in the whole of Africa) na phase mbili zaidi zinatarajiwa mwaka huu!
CC: Tony254 na Wakunya wote wengine!
Pamoja na kukopa reli yenu mwanzo mwisho bila hata kuingiza shilingi Moja toka GoK, lakini bado iliwashinda ikaishia mbugani[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa pesa gani mliyonayo? Hii itabidi tu mkope sio?
sisi tuna GDP nye nye nye [emoji1787][emoji1787][emoji1787] chakula hamkiwezi mafuta mutayawezea wapi??
sasa domo langu liko wapo broo kusema ukweli ndio kosa langu [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2184441
kosa langu mm liko wapi bro au nisiseme ukweli basi ok basi haipo singapore iko kipevu mombasa sorry bro [emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
View attachment 2184443
na hii iko singapore sio kipevu mombasa basi usikasirike bro nisharekebisha nilikosea mm
sipendi kukuona ukiwa na hasira bro [emoji120][emoji120][emoji23]View attachment 2184446
camel oil
View attachment 2184456
oilcom
View attachment 2184457
oryx
View attachment 2184458
puma
View attachment 2184460
total
View attachment 2184462
world oil, lake oil etc
View attachment 2184463
GBP
View attachment 2184464
na hzi sikui ni kampuni gani hapo kurasini
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] watanisaidia wanaojua
View attachment 2184467View attachment 2184468
haya sasa fananisha na kipevu oil terminal mavi ya bata [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2184465
Najua wameshangaa Sana,hawakujua most of the oil deports hapo Mombasa ziko Main island,sasa ona zao venye ni kiduchu compared na za Mombasa😁Hizi conoetitions zako za ufala, do you even see the utter size?? Capacity hamuwezi kufikia...
Stop living in oblivion...
View attachment 2184504View attachment 2184505View attachment 2184506View attachment 2184507View attachment 2184508View attachment 2184509View attachment 2184510View attachment 2184511
View attachment 2184503
Hizi ni kama nusu, na ni Mombasa tu hatujaenda Nairobi...KPC
Nakuru, Kisumu...
Iko Thika. Sioni quality ya udsm it looks just like a normal auditorium. The MKU one is better and biggerWhere is it....Ushawai kuona auditorium kenya yenye quality kama hio ? naongelea quality...
Hata Tanzania bado za Tanga, Mtwara, Mwanza, Mbeya etcHizi conoetitions zako za ufala, do you even see the utter size?? Capacity hamuwezi kufikia...
Stop living in oblivion...
View attachment 2184504View attachment 2184505View attachment 2184506View attachment 2184507View attachment 2184508View attachment 2184509View attachment 2184510View attachment 2184511
View attachment 2184503
Hizi ni kama nusu, na ni Mombasa tu hatujaenda Nairobi...KPC
Nakuru, Kisumu...
Gdp inasaidia nini wakati uchumi wenu 70% ni wa umasikini? 😒The sooner you accept, the earlier you start working, otherwise mtabisha hata ile tutakuwa na triple your economy...tafakari hayo ichoboi kijana mwarabu,
ila usiku mwema na nawatakia Ramadhan Kareem ndungu Wote Waislamu katika Forum hii
Bado Tipper, Engen etccamel oil
View attachment 2184456
oilcom
View attachment 2184457
oryx
View attachment 2184458
puma
View attachment 2184460
total
View attachment 2184462
world oil, lake oil etc
View attachment 2184463
GBP
View attachment 2184464
na hzi sikui ni kampuni gani hapo kurasini
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] watanisaidia wanaojua
View attachment 2184467View attachment 2184468
haya sasa fananisha na kipevu oil terminal mavi ya bata [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2184465
Yes pembeni yake lilipokuwa lile soko la chini.Linajengwa karibu na la zamani au?
Fuel farm at Tipper. Old photo sijapata mpya.Hizi conoetitions zako za ufala, do you even see the utter size?? Capacity hamuwezi kufikia...
Stop living in oblivion...
View attachment 2184504View attachment 2184505View attachment 2184506View attachment 2184507View attachment 2184508View attachment 2184509View attachment 2184510View attachment 2184511
View attachment 2184503
Hizi ni kama nusu, na ni Mombasa tu hatujaenda Nairobi...KPC
Nakuru, Kisumu...
Sisi tunapeleka mafuta Congo Zambia Malawi Rwanda Burundi Uganda na wote wanapata mafuta kwa wakati hujasikia kuna fuel shortage huko.mpaka nimecheka yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado sana bro yani bado kweli kweli kwenye oil business tanzania iko mbele miaka 30
Phase zote 5 zina kandarasi next ssa ni kigoma gitenga burundi mpaka çongo hela imeshatoka tayari na pia a branch to rwanda kagame inabidi achangamke kdgKwa pesa gani mliyonayo? Hii itabidi tu mkope sio?
Bado Isaka to makutupora tho wamesema soon watatoa tenderPhase zote 5 zina kandarasi next ssa ni kigoma gitenga burundi mpaka çongo hela imeshatoka tayari na pia a branch to rwanda kagame inabidi achangamke kdg
Kutoka kuuliza 1 km, hadi 100 km, hadi kwa umeme upi, hadi kwa treni gan, etc.. saiz bila aibu tena kwa chuki kubwa mnahoji kwa pesa zipi?😂.. hata kama ni kwa mkopo.. na nyie jaribu kukopa muone kama mtapewa hio mikopo..Kwa pesa gani mliyonayo? Hii itabidi tu mkope sio?
Na hao watakuwa ni wakunya wanaoishi mpakani mpakani na Tanzania maana sisi tabia hizo hatuna huku kwetu.