@Tony254
The best 007
Geza Ulole
Tony254 India na Kenya ndio zilikua wauzaji wakubwa wa madini ya Tanzanite duniani, lakini hawakua na hata mgodi mmoja wa Tanzanite nchini mwao.
Kenya mnachofanya ni" re-export", ya chai kutoka nchi zingine, lakini local production yenu haiwezi fika hata $200m per year.
Usikaze sasa fuvu
Mombasa tea auction ina deal na nchi zaidi ya 8 na baada ya auctions chai yote inakua branded as Kenya's Tea
Uganda ni mfano tu, hamna ubavu wala mashamba ya kuwa mzalishaji chai number 20 duniani achilia mbali number 3
View attachment 2182325
chongchung Kenya ina kampuni nyingi za kibinafsi zinazopanda na hata kuprocess chai ikiwemo Sasini, Finlays,na kadhalika. Pia kuna association ya wakulima wadogo wadogo wanaomiliki industries za kuprocess chai, inaitwa KTDA. Hawa ni wakulima Wakenya na wanamiliki shamba ndogo ndogo hapa Kenya. Hii KTDA haitoi chai Uganda au Tanzania. Hii ni association ya Wakulima wa chai wa Kenya. It is the biggest tea association in Africa. Mwaka wa 2020 waliuza chai ya $790 million. Sasa kama hawa wakulima wadogo wa Kenya wanauza chai ya $790 million na bado sijajumulisha chai inayouzwa na kampuni za kibinafsi sasa Kenya itashindwa vipi kuzalisha chai ya $1 billion?
Zingatia evidence na usianze tabia ya kupinga evidence kama mwenzako
KTDA-Managed Factories Record KSh79 Billion Revenue in FY19/20
KTDA managed smallholder tea factories recorded a 14 percent jump in revenue in the year ended June 30, 2020.
Revenues rose to Ksh79 billion from Ksh69 billion in the previous year driven by increased green leaf production.
Green leaf production increased 29 percent to 1.45 billion kilograms compared to 1.13 billion kilograms over a similar period last year.
However, the price was relatively lower for the year seeing the average price for a kilo of sold tea fell by 8.1 percent to an average 12-year low of $2.38 per kilo compared to $2.59 per kilo in 2019.
For instance, toward the end of June 2020 the average price per kilo of made tea at the Mombasa Auction dropped below $2, a scenario last seen in 2007. KTDA attributes the decline in prices to increase in production, reduced demand for the product across major markets due to disruptions occasioned by COVID19, and an oversupply in the tea markets.
KTDA expects tea factories to meet this week to review and approve the audited accounts ahead of declaring the final payment ‘bonus’ to farmers.
Halafu kabla ukurupuke na kusema kwamba KTDA inatoa majani chai nje ya Kenya, hawa ni Wakulima wadogo wadogo wa Kenya huko vitongojini. Hawa sio mabroker wanaokuja kununua majani Tanzania. Soma statement katika Website yao.
ktdateas.com
A Global Leader in Quality Teas
KTDA is a private company owned by about 600,000 smallholder tea farmers spread across 16 tea growing counties in Kenya. The farmers are shareholders to 54 tea companies that own KTDA (H) and its 8 subsidiary companies.
Some of the 54 tea factory companies have expanded by setting up satellite factories in their neighborhoods to accommodate the extra leaf. The satellite factories are 15, adding up to 69 the total number of tea factories owned by smallholder tea farmers.
The eight subsidiary companies owned by KTDA (H) add value to the tea value chain. These companies include Chai Trading Company Limited, KTDA (Management Services), Majani Insurance Brokers, Kenya Tea Packers Limited, Greenland Fedha Limited, KTDA Foundation, Tea Machinery and Engineering Company Ltd, KTDA Power Company Limited and KTDA (MS