Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,789
Nasisi tutapunguza ushirikiano on terrorism kwa 40% pia.

Maridhiano kwenye kila mgogoro huwa ni jambo la msingi sana badala ya kutumia mabavu wanaoumia ni wengi.Hawa jamaa baada ya kuinsist maridhiano wanawapa ukraine siraha . Wanataka kuaribu uchumi wa dunia nzima . Mwisho wa siku urusi watatumia nuclear weapons, halafu nowdays covid 19 wamefanya kama hawaijui tena no face mask, kwa trend hii Africa tutaathirika sana haswa kwenye mafuta . Mfumuko wa bei utakua mkubwa sana . Hawa EU na US wanachochea wakati Russia walianza rudisha majeshi yao nyuma
Kijana ajira through sme ni universal haichagui cadre bali ni innovation mfano with advent of ICT you can give online courses or rather tech savy related education systems zitakazo employ hao walimu we need to think out of the box and do away with traditional systems.Mzee kwa sababu naona uko a bit rational, wewe at least naweza debate na wewe on this issue tofauti na jamaa fulani ambaye nimeshindwa hata kudebate na yeye. Sasa twende taratibu na tujulishane facts and information ili tuelimishane. Sasa nikuulize unadhani SME ya Kenya itamuajiri mtu aliyesomea degree ya education na kuspecialize na History na religious studies? Au tuseme ame-specialize na geography? Au hio SME itaajiri mtu aliyesomea business and economics kama mimi? So mambo ya SME kuwaajiri hawa walimu 30,000 ambao wamefuzu ila hawana kazi haiwezi kufanyika. SME inataka accountant au manager ambaye amesomea biashara, sio mtu ambaye amesomea history au religious studies au geography. Huyu atasaidia SME kwa jambo lipi? Natumai ninaweza kudebate na wewe point by point hadi tuelewane kwamba hawa watu wote 30,000 ambao wamefuzu na hawana kazi, hawawezi kuwa absorbed katika uchumi wa Kenya kwa sasa.
Vile vile India na Nigeria pia zinaproduce hundreds of thousands of new graduates kila mwaka kutoka kwa universities zao ila chini ya 40% ndio watakaopata ajira. Hili sio tatizo la Afrika pekee. India inaproduce engineers wengi ajabu na wachache tu ndio wanaweza kupata ajira ndani ya India. Sasa kwa sababu USA inataka engineers na software programmers kwa wingi, kwa nini wahindi au Nigerians au kenyans waliosomea computer science au engineering wasiende USA mahali ambapo watapata ajira kwa urahisi na kulipwa salary 10 times better than nyumbani? Halafu akituma nusu ya hio pesa nyumbani watu wa nyumbani pia wanafaidika. Nataka kusikia mawazo yako kuhusu haya ninayoyasema. In short, it is not possible for all our graduates to be absorbed in our small, underdeveloped economies, uchumi zetu bado ndogo sana. Kenya kuna watu wana masters na hawana ajira, unasema nini wewe. Sasa huyu mtu akipata ajira ya kwenda kufundisha college au university South Sudan utamkataza kwenda eti kwa sababu unataka abaki Kenya aendelee kuwa jobless? Tuwe na utu, huruma na empathy kwa watu ambao wamesoma ila hawana kazi, akipata kazi Somalia basi wacha aende afanye kazi huko jameni, tatizo liko wapi hapo?
Kwamfano ukiangalia ajira nyingi za afya Tanzania wanahitaji either doctors au nurses hata kwenye research ila wanasahau kuwa kuna cadres nyingine zilizo bora au more applicable zaidi kwa program husika kuliko doctors na nurses. As africans we need to widen the scope in employment area.Hili ni wazo nzuri sana. Serikali na universities zetu zinastahili kufocuss kwa hizi careers mpya zinazochipuza ikiwemo hizo ulizotaja ikiwemo sports, acting, animation, coding, artificial intelligence, data science na kadhalika.
Angalia hapa wewe kondooMko na mpango na mchezo upi?
Nyinyi hamna mpango na Mchezo wowote ule.....
And please don't say football coz TZ is the lowest ranked country in East Africa according to FIFA.
usiongee usichokijua
Ulimgusa pabayaKuna mtu jana kachezea upper cut mpk leo hana hamu na uzi![]()



Zinaenda hadi zimbabweNimependa hii number
Gari almost 3000 zinaenda DRC (nilimuambia Tony254 gari nyingi za DRC zinapita Tanzania akabisha) zinaenda Zambia, Rwanda, Burundi, Uganda, Mozambique, Malawi, South Sudan
Hii ina maana ukiondoa gharama za bandarini watazolipa lakini madereva watakua Watanzania na mafuta watanunua Tanzania, zaidi ya ajira za muda almost 3000 zimezalishwa kwa siku 1 tu.
Mombasa inahudumia 95% ya biashara yote Kenya tu
This makes Tanzania regional logistics hub
Yule cartoon huwa anaumizwa sn na maendeleo ya Tz, ss jana baada ya kugundua Kenya imeachwa na Tz kwenye sekta ya afya kwa miaka 1000 kaumia sana na wiki nzima hii hatorudi na hata akirudi hatoongelea suala la afyaUlimgusa pabaya![]()











Nigeria hawadeserve hapo na AngolaAngalia hapa wewe kondoousiongee usichokijua View attachment 2181968
FIFA ranking gan hio unaizungumzia? Chin yetu kuna Burundi, Rwanda..Mko na mpango na mchezo upi?
Nyinyi hamna mpango na Mchezo wowote ule.....
And please don't say football coz TZ is the lowest ranked country in East Africa according to FIFA.
sasa mbona unalia ??😂😂😂Kwanza, hio ship imebeba 4000 cars haimaanishi zote ziko destined Dar 😅
plus really, Kenya still imoports more than double the number of cars imported in TZ per annum 🤣🤣
Kitu kingine..CAF ranking ambayo inategemea clubs competitions under CAF tumewaacha..Mko na mpango na mchezo upi?
Nyinyi hamna mpango na Mchezo wowote ule.....
And please don't say football coz TZ is the lowest ranked country in East Africa according to FIFA.