chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Chunga hii takwimu isikudedishe sababu naona blood pressure yako ipo juu 😅😅😅😅Yaani in 2016 only 7 Tanzanians walimiliki gari kati ya watu 1000, na Kenya ilikua 40 per 1000!.., alafu Magufuli anawadanganya eti wakazi wa Dar 1 in every 4 has a vehicle.., wata park wapi? angalia hizo residential uchwara zimebanana sako kwa bako, jamaa aliona foleni na mikusanyiko ya magari akaropokwa kisiasa na kishabiki tu, no supporting evidence🤣🤣🤣🤣😂😂

#Zingatia hzo km²
kuna sehemu kubwa kisumu hauku highlight.!

