Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Konza city latest update. Kama Watanzania hamgekuwa na wivu basi mngeipongeza Kenya kwa kazi nzuri. Sama boy 255 joto la jiwe Geza Ulole hawa Watanzania watatu ningependa kusikia maoni yao kuhusu hili video la Konza city. Kwanza joto ambaye huwa anapenda kusema Kenya ni failed state.

