IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Tz no. 179 out of 191 countries
Tz no. 179 out of 191 countries
Chunguza kwanza, yaani hamjijui, wacha nikucheke tu, ni weekend😂😂😂😂😂🤣🤣Hii ndiyo bandari inayo receive gari nyingi kuliko bandari yoyote East and Central Africa, R.I.P JPM, SIMBA WA YUDA.
yani tanganyika wameweza tu kuipiku shit-hole countries.. 179 over 191.! ole wangu tanganyika... nani kawalaani 😆😆
Nje ya Dar nothing can be compared to the 5th town ya Kenya on average, hiyo nimefanya utafiti nemeona, ata google earth itakupa majibu mwafaka, Mwanza ya pili ndio hovyo sasa hii kijiji inaitwa Dodoma itaweza?., hizi kelele ata vi town vidogo vidogo hapa Kenya has residentials far better zinaweza toa dar kamasi., mnajitekenyaga tu.., clueless Tanzanians, yaani aka ka estate ka kwanza ka maana in Tz nje ya dar inakupea kiwewe😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Dodoma miaka miwili nyuma haikua hata moja kati ya majiji 5 Tanzania ya kudiscuss lakini kwa sasa sioni city yoyote Kenya ukitoa Nairobi ya ku challenge Dodoma, Mombasa haiwezi challenge Dodoma in terms of settlement,
Wakenya kubalini maendeleo ya nchi yenu mmeyaelekeza mno Nairobi kuliko eneo lolote Kenya nzima kitu ambacho sio sustainable kwa maendeleo ya ujumla ya nchi
Njedengwa na Mkonze ni maeneo miaka mi3 nyuma yalikua vichaka lakini saivi ni maeneo bora kabisa na yote wanaishi wananchi wa kipato cha kawaida kabisa wauza nyanya ndio wengi
View attachment 2181201
View attachment 2181204
Tunaendelea na upanuzi wa bandari Ziwa Tanganyika na mzigo umeanza kuongezeka 👇Na lazima SGR itapata mzgo tu kwa namna hii...
Nngekuwa TPA nngefikiria kujenga Berth nyingne ya Roro ..anyways statistics zinaonesha toka hii roro berth mpya imefunguliwa Meli za Magari zimezidi kuongezeka
New faces in the Kenya Sevens team at Singapore:
View attachment 2181210
And the inexperience shows
View attachment 2181211
With a miss between the sticks:
Sasa mbona Kenya mliamua kutokupiga kura ya kuiadhibu Russia?Mimi ni sellout kwa sababu siwezi taka kuwa upande moja na wajinga kama nyinyi mnaosupport Russia wakati wanauwa raia wa kawaida kama hawa
View attachment 2181128
View attachment 2181130
View attachment 2181131



Hii ni opinion yangu binafsi, sio opinion ya Kenya. Mimi kama Tony siungi mkono unyama ambayo Russia inafanya huko Ukraine.Sasa mbona Kenya mliamua kutokupiga kura ya kuiadhibu Russia?![]()
Magari yanayo baki Tanzania ni 1105 pekee.., kelelee mingi na mnanunua gari chache.., na sio mara ya kwanza, kuna siku pia a ship docked na magari mia saba pekee yalibaki Tanzania, mengine yote was on transit, ukitaka evidence sema🤣🤣😂😂😅.., soma hizi taarifa vizuri.., 😂😂😂🤣🤣😅 so it will only benefit your sgr ku transport them., wengine mtabaki pale vijiweni kwa zile nyumba zenu za ovyo mkiota ndoto ya kumiliki gari..., dreams are valid, don't give up.Wanasema katika hizi siku 5 gari 8000 zimeshuka na bado kuna meli mbili zipo on queue zote zinaoffload 4000 cars yote hii ni scope ya siku 10 tu wakati kabla ya ro-ro berth mwezi mzima walikua wanaoffload gari 10k tu
Nyingi kati ya behewa TRC wameagiza ni za kubeba gari
View attachment 2181258
Mbona kama Google earth inakukataa hvNje ya Dar nothing can be compared to the 5th town ya Kenya on average, hiyo nimefanya utafiti nemeona, ata google earth itakupa majibu mwafaka, Mwanza ya pili ndio hovyo sasa hii kijiji inaitwa Dodoma itaweza?., hizi kelele ata vi town vidogo vidogo hapa Kenya has residentials far better zinaweza toa dar kamasi., mnajitekenyaga tu.., clueless Tanzanians, yaani aka ka estate kwa kwanzan ka maana in Tz nje ya dar inakupea kiwewe![]()

#Zingatia hzo km²Mkuu, usimkubalie Tony254 kirahisi rahisi ili kumridhisha, Kuna kila dalili kwamba hajui analolisema, au anajitetea kuficha udhaifu wa nchi yake.Point yako nzuri Tony..Tatizo la Ajira ni kubwa nchi nying Africa...hata Tz ..na hii inatokana na oudated style of teaching...we still teach things which are not so applicable..in our schools..
Imefika wakati sasa..tuwe na courses ambazo ni employable
Mfano..Digital skills
.....Market Analysis
.Software develeopment
.Media Content Creation
.Coding
Pia still most goverments hazijatilia maanani sector ya Entertainment industry...
At least nimeona Tanzania tumeongeza speed tunataka kuanza kujenga Sports Academies Mashuleni, Na ku develop Arena mbili tatu....but still we need better schools for Acting and production.
Mfano..movies, music na sports vimeajili wamarekani wengi na vinawapatia hela ya kutosha
I know kuna a point kwamba development goes kwa stages na sisi Africa bado tunahitaji basic jobs ie ..teachers , docs ,engineers , lawyers ..
Lakini its a good time vikafanyika kwa mpigo
Pili africa haitilii maanani sector kama Agriculture .View attachment 2181180





Kawaida ninyi wakenya hamna akili na mara nyingi tunawaambia mtuige sisi watanzania, ila baadhi ya viongozi wenu wameanza kupata akili na kuiga Tanzania katika maaumuzi yenu UNDual citizenship ina faida kubwa sana kwa Tanzania. Usisikilize watu wajinga wanaokudanganya. Kenya ilijipatia katiba mpya mwaka wa 2010. Kabla ya hapo tulikuwa na katiba nzee ambayo haikuruhusu dual citizenship. Sasa Wakenya waliokwenda Marekani na Britain kusoma na kuishi huko na kupata skills muhimu walipoamua kuchukua citizenship ya US na kubaki na uraia wa Kenya, katiba ya Kenya ilikataa hilo na kuwalazimisha kuchagua kati ya uraia wa Marekani na uraia wa Kenya. Sasa ni nani kichwa chake kibovu atachagua uraia wa Kenya ilhali ameishi Marekani kwa miaka ishirini? Sasa kwa sababu ya katiba mbovu ya Kenya Wakenya wengi walilazimika kuchagua uraia wa Marekani na kususia uraia wa Kenya. Ikabidi wararue passport zao za Kenya na kubaki na passport ya Marekani. Sasa wanapokuja Kenya kutembelea familia zao wanakuja kama raia wa marekani. Unaona kama hilo ni sawa kweli? Wakenya wenyewe walikuwa wanalia kwamba hawakuwa wanataka kususia uraia wa Kenya ila katiba ya Kenya iliwalazimu kufanya hivyo. Sasa katiba mpya ya Kenya iliyopitishwa mwaka wa 2010 inawaruhusu hawa Wakenya kurudi na kuchukua uraia wao walioupoteza hapo awali. Sasa Wakenya walioishi marekani kwa zaidi ya miaka ishirini wanarudi nyumbani na kuchukua uraia wao kama akina professor Makau Mutua. Yeye bado ni Mmarekani lakini pia ni Mkenya na ni msemaji mkuu wa campaign za uchaguzi ya Raila Odinga.







Hizi comparisons tulimaliza.., ni domo domo tu.., weka close up ujionee tofauti,,Mbona kama Google earth inakukataa hv
Arusha vs Kisumu#Zingatia hzo km²View attachment 2181390View attachment 2181391
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ninyi mpo na matatizo ya kutokubaliana na ukweli kwamba, Tanzania now is unstoppable", muda sio mrefu mtakubaliana na huo ukweli, "we understand what you are going through"Kwanza, hio ship imebeba 4000 cars haimaanishi zote ziko destined Dar
plus really, Kenya still imoports more than double the number of cars imported in TZ per annum![]()