Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muite huyu akutajie wanaomiliki companies kunyaland [emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2177451
Say that again [emoji23][emoji23][emoji23]

images%20(39).jpg
Screenshot_20220406-072120.jpg
 
alfu jamen, anaejenga brt 2 ya kutoka mjin sijui kkoo kwenda mbagala asipewe tena tenda ya barabara nchini.. leo nimepita brt yote inayojengwa mf kule ilala boma, pale jengo la mpango ambapo kuna flyover .. kiukwel kazi wamechelewa afu kazi ni ovyo ovyo..
Mi najiuliza mbona inaikalia wizara ya Ujenzi namna hii? Naskia Sinohydro huyuhuyu kapewa tender ya Dodoma Airport! Alitokea Kenya! Mbona Starbag asipewe aendelee? Hata kwenye ujenzi wa meli kampuni za kikorea zipewe tenders!
 
Nature of Tanzanians is to deny everything even what they don't understand [emoji23][emoji23][emoji23], imagine huyu ni mbunge na anapinga kuwa Eutrophication can't kill fish and interfere with the water ecosystem [emoji23][emoji1787][emoji116]
View attachment 2176866
Ukiwaambia walete uchunguzi wao hawana majibu ila wanakataa utafiti wa wenzao .

Nimecheka hapo uliposema nature of Tanzanians is to deny everything 😄😄😄..

Hujakosea hata uwaeleze ukweli wataishia kupinga,kubisha na upuuzi kama huo.
 
Samia wenzake wana muexploit sana, hajui anachokiengea wala hayuko makini na impact yake, Samia alishindwa kabisa kushtuka tangu lini nchi imetoka hadhi iliyokuwa na uchumi ulikuwa kwa negative growth au , ameshindwa kufungua tovuti ya Worldbank na kuangalia hii taarifa kama ni ya kweli au laah, mwaka jana November ni chini ya miezi 7 alisema yeye mwenyewe nchi iko uchumi wa kati, anashindwa kuelewa kuwa mwaka 2025 tutamwabia mwaka 2021 November tulikuwa na haueni kama tumeshuka basi ni chini yako
Good enough kushuka kwenyewe kutategemea na GDP per Capita na Hali halisi ya maisha mtaani.

Ngoja tusubirie mda maana kasema kwa mipango ya serikali yake na mambo anavyoyaona Hali itakuwa njema zaidi👇

Screenshot_20220405-193907.png


Screenshot_20220405-193710.png
 
Ukiwaambia walete uchunguzi wao hawana majibu ila wanakataa utafiti wa wenzao .

Nimecheka hapo uliposema nature of Tanzanians is to deny everything 😄😄😄..

Hujakosea hata uwaeleze ukweli wataishia kupinga,kubisha na upuuzi kama huo.
Sijui mbona wengi wenu hawapendi ukweli na utafiti wowote kwao not favoring their ego ni uchwara 😂.
 
sri lanka nae inajinyea sasa hvi 🤣🤣

Huu ni muendelezo tuu wa struggling kwa hii Nchi.

Sri Lanka haijaanza juzi wala Jana kupata shida za Uchumi,toka 2019 inafanya quorta ya importation of goods kwa sababu hawana forex za kutosha,utalii wanaoutegemea covid iliufyeka on ther other side China imeikaba kwa madeni baada ya kushika bandari yake.
 
Back
Top Bottom