Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
kwa hiyi ilishuka kwetu tuPato la taifa lilishuka mkuu kwanza mi naona muhimu sio hizo mambo muhimu ni quality ya maisha ya wananchi.Kuna nchi zina GDP ndogo kuliko sisi lakini zinauwezo wa kuipa msaada nchi yetu kutokana Percapita income kuwa kubwa.Imagine Nigeria yenye GDP ya 400+ plus lakini haina uwezo wa kutoa msaada hata kwa burundi au Sierra Leone kwa kua serikali haina huo uwezo labda ikaombe kwa matajiri.Anyway pato la taifa lilipungua kwa kutizama per capital ya 1050 sijui inategemea GDP basi ni uwazi unaweza kupanda na kushuka
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app