The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Wala hadanganywi ila shida yake kubwa anashindwa kujua kipi cha kukitoa hadharani na kipi cha kukaa kimya.Ngoja niendelee kujifunza maana kila mtu amebobea katika eneo lake, nilidhani labda mama anadanganywa ili kuja kumuhujumu baadaye. Hivi WB,IMF nao wameshasema kitu mkuu.?
Hapa anaongea cencerely na akijua anaongea kwa Nia njema lakini hajui kwamba yuko kwenye Nchi ya wajinga na pia kwa maadui zake wa kisiasa watatumia kauli zake kumbomoa na kuwapa shida watetezi wake.
Kauli hii ya Leo na ile ya kusema vitu vyote vitapanda anaongea kwa Nia njema ila tafsiri za watu sasa ni shida,the same to kauli ya kujipimia,ni kauli nzuri kwamba watu wawe na kiasi lakini wapinzani wake walivyokuja kuitafsiri ni vingine kabisaa.
So lazima uwasome watu ulio nao na uwe selective kwa cha kuongea..
Mwendazake aliwahi mtukana na kumdharirisha hadharani injinia baada ya kusema hatukupokea fedha za barabara 🤣🤣🤣