The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Pesa ipo tayari, ujenzi unaanza time yoyote
Hata Jana Bungeni Naibu Waziri wa Ujenzi amesema Rais karidhia kutangazwa kwa kipande kingine Cha Kaliua-Mpanda-Karema Ili contractors waanze ku submit bids