Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe huoni your export to DRC is reducing at an alarming rate?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] In 2018 Tz exported $312M to DRC but in 2020 Tz only exported $74M[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2177106
Sasa kwa akili yako unaamini hizo reports?, Lazima ziwe zinatokea katika "sources" tofauti, biashara Kati ya Tanzania na DRC inazidi kuongezeka kila mwaka, labda Corona iwe ndio sababu.
 
Kama kwenye utalii tulidouble, madini tumeuza sana,miradi ya uwekezeji kila ziara inatangazwa, TRA wamekusanya sana zaidi ya 2020, miradi mikubwa mikubwa ya kimkakati inaendelezwa, budget ya ujenzi hasa uchukuzi imeongezwa zaidi sana tu
Kilimo tunafanya vizuri sana .Sasa najiuliza iweje tena kwamba tumeshuka kiuchumi??

Mimi siyo mchumi ninawaza kama mwananchi wa kawaida ambaye ni mkulima huku kijijini kwetu.Wataalamu naomba mnisaidie hapa.

Kuwaza kwangu nahisi labda uko mbeleni ije isemekane kwamba tuliingia uchumi wa kati lakini tukashuka ghafla kwasababu kuna kiongozi mmoja aliua uchumi wetu, lakini sasa kwa juhudi za uongozi huu tumeupandisha uchumi na kurudi tena mahali tulipokuwa.

Kama nimewaza kwa ujinga mwenye elimu katika hili ninaomba anieleweshe, nimewaza kwa wema tu.
Pato la taifa lilishuka mkuu kwanza mi naona muhimu sio hizo mambo muhimu ni quality ya maisha ya wananchi.Kuna nchi zina GDP ndogo kuliko sisi lakini zinauwezo wa kuipa msaada nchi yetu kutokana Percapita income kuwa kubwa.Imagine Nigeria yenye GDP ya 400+ plus lakini haina uwezo wa kutoa msaada hata kwa burundi au Sierra Leone kwa kua serikali haina huo uwezo labda ikaombe kwa matajiri.Anyway pato la taifa lilipungua kwa kutizama per capital ya 1050 sijui inategemea GDP basi ni uwazi unaweza kupanda na kushuka
 
kenya tuchezea ligi soo.. food imports haitoki sana tz venye wo udhania..

Screenshot_20220405-215550_Chrome.jpg
Screenshot_20220405-215702_Chrome.jpg
Screenshot_20220405-215748_Chrome.jpg
Screenshot_20220405-215849_Chrome.jpg
Screenshot_20220405-215941_Chrome.jpg
 
mambo yanavyoendelea huko dunia.. kuhusu hii vita RussiaVsUkraine.. Russia ni bingwa.. kajipanga kila eneo.. sidhan kama imemuadhiri kama wengine dunian walivyoathiriwa
hii vita russia alivisuka miaka 4 bila nato kua nataarifa na sasa wanatapatapa hata hawajui vikwazo gani waeke badala yake vinawatandika wao wenyewe sasa hvi nato itavurugika 🤣🤣🤣 wataanza kuonana wao kwa wao wabaya
 
Pato la taifa lilishuka mkuu kwanza mi naona muhimu sio hizo mambo muhimu ni quality ya maisha ya wananchi.Kuna nchi zina GDP ndogo kuliko sisi lakini zinauwezo wa kuipa msaada nchi yetu kutokana Percapita income kuwa kubwa.Imagine Nigeria yenye GDP ya 400+ plus lakini haina uwezo wa kutoa msaada hata kwa burundi au Sierra Leone kwa kua serikali haina huo uwezo labda ikaombe kwa matajiri.Anyway pato la taifa lilipungua kwa kutizama per capital ya 1050 sijui inategemea GDP basi ni uwazi unaweza kupanda na kushuka
Ahsante mkuu ninaendelea kupata kitu maana mimi siyo mtaalam wa mambo ya uchumi kama nilivyosema hapo awali.
Ninapenda mawazo huru ya kila mtu, pamoja sana tuendelee kuelimishana kwa busara.
 
Back
Top Bottom