NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,037
- 19,222
Ni Muhindi ama Mwarabu huyo?
Kumbe ndio maana sisi tuna maisha mazuri kuliko majirani fulani wanaotamba na GDP yao ya mchongo. Nilikuwa ninajiuliza maswali mengi sana mbona hawa wanasema wana GDP kubwa lakini ukiangalia maisha yao asilimia kubwa wananchi wao wanaishi maisha duni sana tofauti na siye.Pato la taifa lilishuka mkuu kwanza mi naona muhimu sio hizo mambo muhimu ni quality ya maisha ya wananchi.Kuna nchi zina GDP ndogo kuliko sisi lakini zinauwezo wa kuipa msaada nchi yetu kutokana Percapita income kuwa kubwa.Imagine Nigeria yenye GDP ya 400+ plus lakini haina uwezo wa kutoa msaada hata kwa burundi au Sierra Leone kwa kua serikali haina huo uwezo labda ikaombe kwa matajiri.Anyway pato la taifa lilipungua kwa kutizama per capital ya 1050 sijui inategemea GDP basi ni uwazi unaweza kupanda na kushuka
Tell that to your minister of health who accepted that Kenya has better facilities than Tz and she was begging GOK to let Tanzanians come for treatment in Kenya[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2176949
View attachment 2176951
Not at all, we only have slums, Kibera, Kawangware and others are all in TanzaniaDo you even have cities in Tanzania?
umenena kama watu kumi wa UDANot at all, we only have slums, Kibera, Kawangware and others are all in Tanzania
We jamaa bangi unavuta sijui inatoka wapi...What we make from Tanzania is huge than what leave there. Again don't forget Tanzanian economy is controlled by Kenyans, Indians and whites [emoji23][emoji23]
Akili yako ni sawa kweli? Mbona sioni hiyo 3M tonnes unaongelea?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]Zaidi ya Tones million 3 za DRC zinapita kwenye ports zetu currently
But we control your economy [emoji23][emoji1787]We sell more to you than you sell to us[emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu leta hiyo report yenye unaamini[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwa akili yako unaamini hizo reports?, Lazima ziwe zinatokea katika "sources" tofauti, biashara Kati ya Tanzania na DRC inazidi kuongezeka kila mwaka, labda Corona iwe ndio sababu.
Keep quiet, Tz only export $74M worth of goods and services to DRC [emoji1787][emoji23]Why do you use different sources to compare the same thing?, Hivyo ndivyo ulivyofundishwa shuleni kwenu?
Ni Muhindi ama Mwarabu huyo?
First, I don't deal with Wikipedia. Second, who cheated you that Chancellor is the owner of higher education institutions? Kwa huu ujinga wenu wallai mnataka ti maombi[emoji23][emoji1787][emoji23]
Ikulu haina kazi????Mzee kama wewe unapiga kelele juu ya ikulu? Nchi zinazojitambua wanainchi wangeuliza mbona pesa nyingi zitumike kujenga jengo lisilo na kazi. Hapo kwenu munacelebrate.
I'm waiting for you to list three then I mention for the million tanzanians running to Kenya for treatment.Weka úshahidi Kama huu
jamaa yupo full,vyote vinavyofanyika kuhusu vikwazo alishajua kuwa vitatokea kilichonisikitisha na kuyadharau haya mataifa makubwa wakina USA na vikanjanja wenzake yaani wamepiga mahesabu ya kitoto sana pamoja yakuwa na intelgensia kubwa ya kijasusi yaani walishindwa kabisa kujiuliza kuwa Russia kwanini imeamua kuivamia ukraine,mambo yanavyoendelea huko dunia.. kuhusu hii vita RussiaVsUkraine.. Russia ni bingwa.. kajipanga kila eneo.. sidhan kama imemuadhiri kama wengine dunian walivyoathiriwa
Makenya mashamba aseee huyo mtz mwenye asili ya Iran huko ka cjakoseaNi Muhindi ama Mwarabu huyo?
huyo chizi ,kashazoea kujifurahishaZaidi ya Tones million 3 za DRC zinapita kwenye ports zetu currently
Where is the lie?We jamaa bangi unavuta sijui inatoka wapi...
What benefit does it have to the common mwananchi?Ikulu haina kazi????