Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona tubomoe jengo linalofanya kazi kisa tunataka kutunisha misuli? Sisi sio kama nyie bradhee. State house is just an official residence which no president actually stays. Why waste money on such a thing? Huwa namcheka sana mkianzisha ligi za vitu vya upuzi kama State House humu. Heeheee.
Kuanzisha ligi ta the highest office in the land ni upuuzi ila ya fire engine sio upuuzi!!! Sometimes i fail to understand how these Kenyans think.
 
Mkuu ulinishauri niachane naye nami nikafuata ushauri wako nikamute, sasa nami nakuomba mpotezee tu ataacha mwenyewe. Ukimpa attention anajiona anafuatiliwa. Hata akikutukana usimrudishie tusi shida yake ni ya kisaikolojia zaidi,aliumizwa mahali fulani hasira zake zote anazipeleka kwingine. Muache ajione kwamba yeye ana akili nyingi sana kuliko watu wote humu ndani. Ignore tu my brother.
mi namuenjoy tu huyo,ila soon nampotezea maana ni kichwa maji

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Majibu mnayo

FB_IMG_1649164191103.jpg
 
Kumbe wewe ndio uko na mavi kwa kichwa.., soma taarifa ujue chanzo cha low supply., Kenya sio Tanzania nchi kubwa ya watu wengi alafu ni fukara😛[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2176648

State to penalize fuel dealers for hoarding as crisis persists​

TUESDAY APRIL 05 2022
kamau

Petroleum PS Andrew Kamau. FILE PHOTO | NMG

The state will fine fuel marketers accused of hoarding petrol and diesel as it released Sh8.2 billion subsidy arrears to petrol retailers to ease nationwide fuel shortage and forestall a crisis.

Petroleum Principal Secretary Andrew Kamau said on Monday that investigations into the shortage were being finalised, setting the stage for financial penalties and licence withdrawals.

He added that the supply hitches that caused the nationwide fuel shortage are expected to ease from Thursday after oil marketers steeped supplies to stations from depots.

“By Thursday we will be back to normal, today we paid Sh8.2 billion to the marketers and since yesterday (Sunday) depots were opened and marketers have been working to refill their stations,” Mr Kamau told the Business Daily.

The marketers are said to have gone slow in evacuating their products from the depots to protest delays in the payment of subsidies to the companies.

The government says it owes the companies Sh13 billion and on Monday released Sh8.2 billion to the dealers, who claim to be owed in excess of Sh20 billion.

ALSO READ​

The respite cannot come soon enough for the frustrated motorists who have formed long queues at petrol stations for days due to the biting shortages.

“This is an artificial shortage,” Mr Kamau said. “We are aware of the hoarding issue and we are dealing with it. You (marketers) can lose a licence but we do not want to go there for now. After the crisis, something must happen because there are conditions attached to those licences.”

The Petroleum Act of 2019 imposes a fine of Sh10 million or five years in jail for dealers who sell fuel above the price set by the Energy and Petroleum Regulatory Authority (Epra). Those caught hoarding fuel risk fines of not less than Sh1 million or one year in jail or both.

The energy regulator Epra has also threatened any company found hoarding fuel with deregulation.

Kenya is reeling from a surge in crude oil prices since last year, which has forced it to start subsiding retail prices.

The government rolled out a fuel subsidy in April last year to cushion consumers from the surge in the price of oil in the international markets.

It has so far spent Sh36 billion subsidising fuel, which has helped stabilise prices at the pump and kept inflation within the government’s preferred band.

But the latest jump is causing cash flow problems at some smaller fuel retailers, leading to supply shortages. The hardships have been compounded by delays in the payment of subsidies to the companies by the government.

Conflicting reasons have been given for the shortage, with President Uhuru Kenyatta attributing it to the global crisis occasioned by Russia’s invasion of Ukraine.

Kenya Pipeline, the national oil storage company, says there is enough stock.

Oil dealers say delayed subsidies promised by the government to oil marketers to cushion consumers from the effects of the global crisis is causing the shortages and price hikes.

The fuel shortage started in the Western and North Rift regions before hitting Nairobi on Friday, triggering panic buying that saw dealers hike prices and others limit the amount of fuel being sold per motorist.

A litre of petrol is retailing at above Sh200 a litre in some filling stations, breaching the level set by Epra in its last monthly fuel review.

In Nairobi, diesel and petrol prices are capped at Sh115.60 and Sh134.72 for the month to April 15— the highest level in Kenya’s history.

Yesterday’s assurances by the government will ease growing fears that had already seen motorists in border towns cross to towns in the neighbouring countries for fuel.

In addition to straining the government’s finances, higher oil prices also drove up inflation by a half percentage point last month, and it has also frustrated policymakers.

Public transport service providers have warned they will hike fares while the planting season has been disrupted due to lack of fertilisers and enough diesel to power the tractors, underlining the extent of the artificial shortage of fuel.
Do not demonize fuel dealers it is high time now the truth be told the GOK is broke and failed to pay fuel sibsidy dues to the fuel firms.
 
Unajua tulirudishwa kwa sababu zipi? Nimekuwa nawaambia humu ndani mara nyingi kwamba Mwendazake aliua uchumi mkawa mnashupaza shingo..

Ukweli ni kwamba uchumi wa Tzn ulianguka vibaya sana mwaka 2020 na hata sababu za kuchukua mkopo wa covid ilikuwa ni ku stabilise forex Ili serikali isije kushindwa kuagiza biadhaa muhimu kutokana na ukweli kwamba foreign reserves iliporomoka.

Ila kwa kuwa nyie wengi ni washabiki maandazi na wajinga huwa hamtaki ukweli..

Mei mosi ya 2021 Rais alisema wazi kwamba Hali ya uchumi ni mbaya hatuwezi kuongeza salary hadi mwaka huu ambapo umeimarika na salary zitaongezeka.

Narudia kusema hatukuwa na Rais bali Katuni wa propaganda.
hii safari utaongea pumba mpaka utachoka,nachokushauri endelea kuoost mambo ya kuupiga mwingi nitakuwa nakusaidia kukupa like moja moja per day,

bila shaka utakuwa umenielewa mzee wa kupigiliwa mwingi,

in reality mshazingua endelea kula kande zako zilizochacha tutakupa like ili uendelee kujifurahisha

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
acha ushamba ,hivyo vitu vyote ni vitu normal ni lazima serikali iwajibike kuvifanya,na nivitu ambavyo vipo kwenye ilani, ila jiou linalokuja kutokea ni pale unapopata usimamizi mbovu yaani nchi inaweza ikawa na pesa nyungi za mikopo ambayo ukija kufanya tamthimini ya pesa za mikopo na matumizi ni tofauti,

ila nimefurahi sana mama wako wa kambo kaupiga mwingi kinyume nyume baada ya kwenda mbele ,,

mshafeli ,sijui wakenya nao hapa wakiamua kupost hivyo vistatus tittle story cover ya vitu simple vidogo vidogo vinavyofanyika kwao kutatosha kweli humu,

MAMA YAKO WA KAMBO HAJAUPIGA MWINGI TENA BALI KAJIPIGILIA MWINGIView attachment 2176707

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kama kwenye utalii tulidouble, madini tumeuza sana,miradi ya uwekezeji kila ziara inatangazwa, TRA wamekusanya sana zaidi ya 2020, miradi mikubwa mikubwa ya kimkakati inaendelezwa, budget ya ujenzi hasa uchukuzi imeongezwa zaidi sana tu
Kilimo tunafanya vizuri sana .Sasa najiuliza iweje tena kwamba tumeshuka kiuchumi??

Mimi siyo mchumi ninawaza kama mwananchi wa kawaida ambaye ni mkulima huku kijijini kwetu.Wataalamu naomba mnisaidie hapa.

Kuwaza kwangu nahisi labda uko mbeleni ije isemekane kwamba tuliingia uchumi wa kati lakini tukashuka ghafla kwasababu kuna kiongozi mmoja aliua uchumi wetu, lakini sasa kwa juhudi za uongozi huu tumeupandisha uchumi na kurudi tena mahali tulipokuwa.

Kama nimewaza kwa ujinga mwenye elimu katika hili ninaomba anieleweshe, nimewaza kwa wema tu.
 
hii safari utaongea pumba mpaka utachoka,nachokushauri endelea kuoost mambo ya kuupiga mwingi nitakuwa nakusaidia kukupa like moja moja per day,

bila shaka utakuwa umenielewa mzee wa kupigiliwa mwingi,

in reality mshazingua endelea kula kande zako zilizochacha tutakupa like ili uendelee kujifurahisha

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Do you have a proper functioning mind au ndio Wishful thinking 🤣🤣
 
Do not demonize fuel dealers it is high time now the truth be told the GOK is broke and failed to pay fuel sibsidy dues to the fuel firms.
Who is demonizing dealers? Swali ni hili; is fuel there or not? kuna reserves in the country or not? I had to educate your ignorant countrymen of what exactly is happening, sio kusingizia fikra zenu za kimasikini kwa Kenya. And do u know why subsidy came about? nchi fukara haina subsidy to cushion its citizens and put inflation to check..,
Kenya's government rolled out a fuel subsidy in April last year to cushion consumers from the surge in the price of oil in the international markets. Kenya has already spent Sh36 billion subsidizing fuel, which has helped stabilize prices at the pump and kept inflation within the government’s preferred band, until now where Russian/Ukrain crisis is playing into the hands of unscrupulous businessmen and cartels kusingizia vita ili kuongeza prices ya bidhaa na mafuta ata kama sivyo. Though sipingi price ya mafuta imepanda dunia yote, I am an online trader, I trade commodities online na nimetangeneza hela ndefu mno trading USOilroll na Gold due to price surge (Bullish Market since the war began)..,
 
Do you have a proper functioning mind au ndio Wishful thinking [emoji1787][emoji1787]
endelea kuupiga mwingi na mama yako wa kambo na hizo unreasonable factor

kwa ground mambo yapo hivi,na hizi ndiyo reason mlizobakia nazo ,

reason uchwala na huu ni mfano halisi hivyo hatutegemei real strong reason kwa hii awamu yaani kila utakachohoji mtakijibu kwa mtindo huu
[emoji116][emoji116][emoji116]
20220405_163544.jpg

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
endelea kuupiga mwingi na mama yako wa kambo na hizo unreasonable factor

kwa ground mambo yapo hivi,na hizi ndiyo reason mlizobakia nazo ,

reason uchwala na huu ni mfano halisi hivyo hatutegemei real strong reason kwa hii awamu yaani kila utakachohoji mtakijibu kwa mtindo huu
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2176769

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Sasa mtu kama Msukuma anajua nn mambo ya Oxygen depletion na Eutrophication? Ameweza hata kuisoma hiyo ripoti?
 
Kama kwenye utalii tulidouble, madini tumeuza sana,miradi ya uwekezeji kila ziara inatangazwa, TRA wamekusanya sana zaidi ya 2020, miradi mikubwa mikubwa ya kimkakati inaendelezwa, budget ya ujenzi hasa uchukuzi imeongezwa zaidi sana tu
Kilimo tunafanya vizuri sana .Sasa najiuliza iweje tena kwamba tumeshuka kiuchumi??

Mimi siyo mchumi ninawaza kama mwananchi wa kawaida ambaye ni mkulima huku kijijini kwetu.Wataalamu naomba mnisaidie hapa.

Kuwaza kwangu nahisi labda uko mbeleni ije isemekane kwamba tuliingia uchumi wa kati lakini tukashuka ghafla kwasababu kuna kiongozi mmoja aliua uchumi wetu, lakini sasa kwa juhudi za uongozi huu tumeupandisha uchumi na kurudi tena mahali tulipokuwa.

Kama nimewaza kwa ujinga mwenye elimu katika hili ninaomba anieleweshe, nimewaza kwa wema tu.
Nakusaidia kukujibu,toka ameingia Mwendazake the economy was poorly performing ilikuwa inakua at decreasing rate year after year..

Hii haikuzuia ku sustain ile minimum per Capita inayotakiwa kwa Nchi kuwa Lower Middle Income.

But mwaka 2019-2020 hadi early 2021 uchumi ulianguka kabisaa na ndio mwaka huo serikali Ili tighten zile sheria za Takwimu..

Ndio kusema GDP ilishuka sana,huwa hamuoni humu ndani toka 2015 GDP ya Tzn huwa haibadikiki iko mule mule bil. 60-65 $,huu ni ushahidi kwamba uchumi ulikuwa na Hali mbaya..

Pili kitendo cha serikali kuanza kubambikia watu Kodi,kupora pesa zao,kubambikia kesi Ili watu walipe pesa ni ushahidi tosha wa Hali ya mambo ilivyokuwa..

Ushahidi mwingine ni kwamba mwaka huo wa 2021,reserves ya Fedha za kigeno ilianguka Sana na onyo lilitolewa na WB kwamba kama hatua hazichukuliwi sasa Nchi itashindwa kuagiza bidhaa na sarafu kuanguka kwa sababu sekta ya utalii ndio ilikuwa kama imekufa..

Ku rescue Hali hiyo ndio serikali Ika opt kufuata masharti ya chanjo ya uviko na hivyo kupata pesa za kigeni ambazo baada ya exchange ndio zikafanya miradi iliyopangwa..

Ndipo ikazaliwa kauli ya kufungua Nchi,sasa hivi ndio uchumi unafufuka taratibu na ni kweli rebound imeanza kutokea na ndio hayo tunayosema yanafanywa.

Uharibu uchumi miaka 6 afu uje kutaka kujenga kwa mwaka 1,,hii haipo kwa sababu bado tuko kwenye category ya Nchi zenye sera zisizotabirika kwa hiyo huwezi pata investors fasta..

Tunashukuru Sana Mungu kwa kutuondolea lile balaa,Samia hajawahi sema uongo alisema huu ukweymei mosi mwaka Jana leo karudia tuu kusema.
 
endelea kuupiga mwingi na mama yako wa kambo na hizo unreasonable factor

kwa ground mambo yapo hivi,na hizi ndiyo reason mlizobakia nazo ,

reason uchwala na huu ni mfano halisi hivyo hatutegemei real strong reason kwa hii awamu yaani kila utakachohoji mtakijibu kwa mtindo huu
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2176769

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ajiuzulu tuu,Kanda ya Ziwa inaongoza kwa sumu za kutoka kwenye migodi ndio maana huko Kanda haziwaishi..

Hapo serikali inakwepa tuu kusema ukweli.Mwisho wao watafute independent organ ifanye uchunguzi maana maprofesa wa Tzn ndio kama wala wa Barrick wa Magufuli,yule professor wa jalalani former foreign minister na upuuzi mwingine waliokuwa wanaufanya kama kwenda Madagascar kuleta nyungu na eti kuweka kibanda cha nyungu mhimbili hospital 😄😄😄
 
Nakusaidia kukujibu,toka ameingia Mwendazake the economy was poorly performing ilikuwa inakua at decreasing rate year after year..

Hii haikuzuia ku sustain ile minimum per Capita inayotakiwa kwa Nchi kuwa Lower Middle Income.

But mwaka 2019-2020 hadi early 2021 uchumi ulianguka kabisaa na ndio mwaka huo serikali Ili tighten zile sheria za Takwimu..

Ndio kusema GDP ilishuka sana,huwa hamuoni humu ndani toka 2015 GDP ya Tzn huwa haibadikiki iko mule mule bil. 60-65 $,huu ni ushahidi kwamba uchumi ulikuwa na Hali mbaya..

Pili kitendo cha serikali kuanza kubambikia watu Kodi,kupora pesa zao,kubambikia kesi Ili watu walipe pesa ni ushahidi tosha wa Hali ya mambo ilivyokuwa..

Ushahidi mwingine ni kwamba mwaka huo wa 2021,reserves ya Fedha za kigeno ilianguka Sana na onyo lilitolewa na WB kwamba kama hatua hazichukuliwi sasa Nchi itashindwa kuagiza bidhaa na sarafu kuanguka kwa sababu sekta ya utalii ndio ilikuwa kama imekufa..

Ku rescue Hali hiyo ndio serikali Ika opt kufuata masharti ya chanjo ya uviko na hivyo kupata pesa za kigeni ambazo baada ya exchange ndio zikafanya miradi iliyopangwa..

Ndipo ikazaliwa kauli ya kufungua Nchi,sasa hivi ndio uchumi unafufuka taratibu na ni kweli rebound imeanza kutokea na ndio hayo tunayosema yanafanywa.

Uharibu uchumi miaka 6 afu uje kutaka kujenga kwa mwaka 1,,hii haipo kwa sababu bado tuko kwenye category ya Nchi zenye sera zisizotabirika kwa hiyo huwezi pata investors fasta..

Tunashukuru Sana Mungu kwa kutuondolea lile balaa,Samia hajawahi sema uongo alisema huu ukweymei mosi mwaka Jana leo karudia tuu kusema.
Ngoja niendelee kujifunza maana kila mtu amebobea katika eneo lake, nilidhani labda mama anadanganywa ili kuja kumuhujumu baadaye. Hivi WB,IMF nao wameshasema kitu mkuu.?
 
Tanzania ni nchi kubwa na idadi ya watu wengi saaaaana............. shida tu ni venye tz ni fukara
 
Back
Top Bottom