Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania hatufuati wala kutegemea nchi nyingine katika mambo yetu muhimu kama kunyaland. Tanzania tunafuata sera yetu ya taifa ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA "NATIONAL SOCIALISM AND SELF RELIANCE" Hii ndiyo maana watanzania hawaombi chakula kwa majirani wala ulaya. poor kenyans
Watanzania hawaombi wakati kila mara mnakopa WB and other lending bodies?

Hamuombi wakati ombaomba wenu wamejazaa barabara na mitaa zetu na bakuli mikononi? Listen to yourself
 
Watanzania hawaombi wakati kila mara mnakopa WB and other lending bodies?

Hamuombi wakati ombaomba wenu wamejazaa barabara na mitaa zetu na bakuli mikononi? Listen to yourself
acha upumbavu jiongeze wewe, Tanzania tunakopa fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo, hatuendi ulaya kuomba chakula! ombaomba wa Tanzania katika barabara za kenya? haupo serious, warudisheni nyumbani kama ni watanzania! Ninachofahamu hao ni ombaomba wa kenya. kama unapinga njoo Tanzania bila vibali uuone moto wake. lakini nafurahi mnazidi kuthibitisha mlivyo FAILED STATE
 
FPdbfi-X0AkNFJB

FPdbfjCXEAMCQ67

FPdbfi-XMAMCAsz

FPdbfjBXwAILiBa
 
acha upumbavu jiongeze wewe, Tanzania tunakopa fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo, hatuendi ulaya kuomba chakula! ombaomba wa Tanzania katika barabara za kenya? haupo serious, warudisheni nyumbani kama ni watanzania! Ninachofahamu hao ni ombaomba wa kenya. kama unapinga njoo Tanzania bila vibali uuone moto wake. lakini nafurahi mnazidi kuthibitisha mlivyo FAILED STATE
Wewe so wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho kuwakana
 
Wewe so wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho kuwakana
Sheria za Tanzania haziruhusu ombaomba, wameamua kukimbilia katika nchi inayoruhusu ombaomba na mnawakubali, Sasa kelele za nini?, Mbona majambazi toka Kenya walipojaribu kuja Tanzania tuliwadhibiti hatukupiga kelele?, Your government is very weak, that is a fact
 
What's the reason for China? For Kenya, it's purely hoarding of the product by the suppliers/marketers. Our reserves are full as I type this
Wewe umelewa au ni akili ndogo?, Serikali lazima iwe na uwezo wa kuwaamuru watu wenye mafuta kwenye "storages" zao kuyatoa ili kupunguza upungufu, Sasa Kama kweli mafuta yapo iweje wananchi na uchumi unatatizika?, GoK is very very weak"
 
TRA imekusanya $8B, KRS $7 B

Kuna kichaa moja la kikenya jana lilipost eti wao ni top 6 kwa makusanyo ya kodi, and he/she was claiming ati they ar among them lagger economies in Africa kwa kukusanya $7 B 😂😂😂 Kumbe tz tunapiga $8 billion, so we are in top five list of em African giants alaf wafuate wao .. Teargas una lipi la kusema.?
 
Back
Top Bottom