Cost issues plus it's for staffs only (zipo kwenye ofis/sehem za kazi), not for public...ila hizi ngazi dah, si wajaribu na underpasses pia? hazita-discourage watu kuzitumia kweli?
underpass inafaa for public (people,animals and vehicles)
Cost issues plus it's for staffs only (zipo kwenye ofis/sehem za kazi), not for public...ila hizi ngazi dah, si wajaribu na underpasses pia? hazita-discourage watu kuzitumia kweli?
Hivi vitu kwetu ni vitu vidogo sana usitusumbue kutafuta picha za vitu vidogo kama hivi.I want you to show us fire brigade for each region. Na ukumbuke hatuitaji za airports and ports juu naona unatoa usaidizi from TAA and TPA. So far I have only seen for Tabora
![]()
😂😂 Brah I Know you are high on somethingAre you ask questions or you are preparing debating questions?
1)JNIA vs JKIA, which is the biggest, modern and beautiful?
2)Mkapa vs Moi Kasarani stadium, who is the modern, biggest and beautiful?
3)Muhimbili vs Kenyatta hospital, who has performed many and complicated medical surgeriee, ie; Heart, ENT, Orthopedic, and bone marrow transplant?![]()
Challenge one point among them?Brah I Know you are high on something



Hawapendi kusikia kwamba kwa ss tunakusanya pesa nyingi kuliko waoTRA imekusanya $8B, KRS $7 B





While in kunyaland
Sema tu hamnaHivi vitu kwetu ni vitu vidogo sana usitusumbue kutafuta picha za vitu vidogo kama hivi.

Niliongea si kwa ushabiki. Nimeshauri si kwa maslahi, kuna mtu kasema subiri aje uone atakavyokujibu.Niliacha kuongea chochote nikasema ngoja nisubiri, kweli yametokea kama jamaa alivyosema. Mimi siendi mwenyewe ofisini nchi hii ni kubwa kama wewe umekwenda ukakuta mambo ni shwari hiyo ni juu yako.Ofisi unaenda peke yako Mzee? Kipimo cha kwamba huko ofisini kuna urasimu ni kama mambo yamekwama.
Ila kuna nyie mnaotaka haraka hamtaki kufuata utaratibu aisee hata mimi ukija na haraka zako nakuomba chochote,hii imekuwa hivyo miaka yote..
By the way usipotoa taarifa unalia Lia humu haitakusaidia,Samia hawezi toka Dar au Dom kusimamia ofisi ya umma Namanyere..
Kudanganywa Rais ni Kawaida hata Mwendazake alidanganywa sana na ushahidi ninao..
Point ya msingi nikiona miradi imekwama hapo dawa ila eti inaenda,urasimu was hapa na pale kwenye sekta ya umma ni Kawaida japo sio wengi wanafanya hivyo ni watu wachache tuu..
Nachofurahi mimi Pesa sasa hivi ipo na Kazi zinafanyika.
Mwaka mmja wa mama na tozo ,Tarura Hawa hapa
View attachment 2175118
View attachment 2175119
View attachment 2175120
View attachment 2175121
View attachment 2175122
View attachment 2175123
View attachment 2175124
View attachment 2175125
Endeleeni kujidanganyaKuna kichaa moja la kikenya jana lilipost eti wao ni top 6 kwa makusanyo ya kodi, and he/she was claiming ati they ar among them lagger economies in Africa kwa kukusanya $7 BKumbe tz tunapiga $8 billion, so we are in top five list of em African giants alaf wafuate wao .. Teargas una lipi la kusema.?


. KRA just collected $11B in seven months.
Na bado tupo kimya. Hawa jamaa kwa kutengeneza propaganda za list za uongo wanaongoza Afrika.Kuna kichaa moja la kikenya jana lilipost eti wao ni top 6 kwa makusanyo ya kodi, and he/she was claiming ati they ar among them lagger economies in Africa kwa kukusanya $7 BKumbe tz tunapiga $8 billion, so we are in top five list of em African giants alaf wafuate wao .. Teargas una lipi la kusema.?
Your tax revenue for one year is $8B while Kenya's tax revenue for seven months is $11BNa bado tupo kimya. Hawa jamaa kwa kutengeneza propaganda za list za uongo wanaongoza Afrika.





Umeshaongeza namba tenaYour tax revenue for one year is $8B while Kenya's tax revenue for seven months is $11B
![]()
Timely revenue boost as KRA nets Sh1tr in seven months
This follows the reopening of the economy and a sustained campaign by the taxman to enhance tax compliance, January’s collection was Sh56 billion.www.standardmedia.co.ke



Expect insults to follow your questionTanzania gani imeendelea? Nipee ya Sirare na umalizie na Kahama



nilikuambia huyo jamaa ni nazi kabisa analeta siasa za kitoto humuNiliongea si kwa ushabiki. Nimeshauri si kwa maslahi, kuna mtu kasema subiri aje uone atakavyokujibu.Niliacha kuongea chochote nikasema ngoja nisubiri, kweli yametokea kama jamaa alivyosema. Mimi siendi mwenyewe ofisini nchi hii ni kubwa kama wewe umekwenda ukakuta mambo ni shwari hiyo ni juu yako.
Kwamba niende nikaseme badala yake naishia kulia lia humu, wewe unafanya nini humu hayo unayoyaandika huko nje huwa unayaandika? Kama unayaongea sisi tutajuaje au wewe unajuaje sikutoa taarifa?
Hapa tunachokifanya hatufanyi kwa maslahi yetu binafsi ni uzalendo kwa nchi yetu, hatulipwi, ni kwa ajili ya future ya vizazi vyetu.Kwani kusifia hatusifii mambo yasipokwenda sawa lazima tuseme.
Kama ni mzaha basi hakuna haja ya kuwa hapa jamvini tuwaache majirani watambe wapendavyo maana labda wametuzidi sana mkuu , sikutegemea kujibiwa kwa kejeli wakati hivi tunavyoviongolea hapa ni vya msingi.
Mahaba yasipitilize tukajikuta tunasifia kila upuuzi unaofanyika. Nampongeza mama kwenye madawati aliupiga mwingi na ni kwa vile alisema mtaziona rangi zangu watu wakafanya kazi kweli kweli.
Kauli yake leo pia imeonyesha ina mamlaka hivyo ndio inatakiwa kuwa, amesema kuna watu wamesimamishwa kwa ajili ya wizi uliotokea, napo unasemaje sasa?
Tujadili kwa hoja kaka.Kama mtu akikutukana nawe mlipize, akija kwa kejeli mjibu kwa kejeli. Akiongea kwa busara nawe tumia busara ili nyote mfanane najua huwezi kuwa na hekima kama hukuzaliwa nayo ila unaweza kujifunza kuwa busara utashi ni wako.