Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Technology ya kizamani hyo, dunia ya sasa inaenda na mwendo wa spider [emoji2765][emoji2764] ona hii hapa [emoji116][emoji116]View attachment 2171581View attachment 2171583View attachment 2171584View attachment 2171585
Kwa ground vitu ni different. 😂😂😂

images (24).jpeg


images (25).jpeg
 
Kenya ni miongoni mwa nchi chache sana hapa Afrika ambayo ilipigania uhuru wake kupitia vita sio diplomasia. Nchi zingine pia ambazo zilimwaga damu ili kujipatia uhuru ni Zimbabwe, South Afrika, Namibia na Angola. Ila nchi kama ya Tanzania mlipewa uhuru baada ya mazungumzo tu. Halafu bado mnajifanya kwamba nyie ndio mnajua kupigana na mabeberu kutushinda sisi ilhali nyie hamkupigana na mabeberu mwanaume kwa mwanaume kama sisi tulivyofanya. Wakenya 50,000 waliuwawa katika vita vya Mau mau. Wakenya wengi ikiwemo wamama na watoto waliwekwa katika concentration camps. Vitabu vimeandikwa kuhusu hili mnaweza kuvisoma. Serikali ya UK iliomba msamaha kwa mateso na mauwaji iliyofanya Kenya wakati huo.


Cc ichoboy01
Geza Ulole
joto la jiwe
Kwahiyo unajisifu kwa kushindwa kutumia diplomasia badala yake unajisifu kwa kupigana, we are smarter than you guys, we managed to convince them orally [emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo nchi zingine zote ulizitaja ambazo zilipata uhuru wake, zote chimbuko la Uhuru wao ni Tanzania, sisi ndio tuliowasaidia kwa hali na Mali hadi wakawashinda wakoloni.

Tofauti Kati ya hizi nchi na Kenya ni kwamba, Kenya baada ya kupata uhuru wake iliamua kujitenga na waafrika na kuwakumbatia wazungu, lakini hizi nchi ziliendelea na vita kuzikomboa nchi zingine za Afrika hadi nchi zote za Afrika zilipokua huru. Kupigana vita vya uhuru sio sababu ya kutosaidia nchi zingine, huo ni ubinafsi wa Kenya na tabia ya nchi za kibepari, kutojali watu wengine
 
na wao ndo walifanya kenya kua dominant na ikalie miji zote za eastern africa hadi waleo.. inasemekana nairobi modernity ilikua ina grow pamoja na london at the wake of the 20th century. ndo maana ata mw. j.nyerere kaitaja nairobi kama 'london' kwa wakati moja
Ndio wanaotawala ardhi yote na viwanda vyote vikubwa na majengo mengi hapo Nairobi na kuwaacha wakenya wengi wakiishi kwenye mabanda ya nguruwe kule Kibera na kufa kwa njaa kule Turkana
 
Una facts au unabwata tu

Qatar Alone comes to Dar 3x a day
angalia Domestic routes za Air Tanzania alfu uniambie kama KQ inaruka to that many destinations in Kenya

Leo pekee
Mwanza 3x
Kilimanjaro 3x
Mbeya2x
Mtwara
Dodoma 2x
Songea
Kigoma
Nairobi 2x
Harare
Lusaka
Zanzibar 4x
View attachment 2171513View attachment 2171514View attachment 2171515View attachment 2171516View attachment 2171517View attachment 2171518View attachment 2171519View attachment 2171521
View attachment 2171524View attachment 2171525View attachment 2171526View attachment 2171527
Sasa ona.., Air Tanzania ina dominate route za dala dala na bado ina chemsha, yaani ni losses tu, showing hakuna wateja wa kutosha😂😂🤣🤣, unajua Kenya kuna airlines company ngapi zinapiga routes za dala dala wewe? KQ haina monopoly, inapewa competition sio mchezo, na zingine zinaruka hadi Zanzibar? na pia angalia number ya domestic passengers per plane in a month kisha uje tusemezane pole pole, hauna taarifa yeyote, ni zile shabiki zenu za kusifia Tz without doing comparison analysis, una post tu data na haujachunguza upande wa jirani.., angalia hii schedule ya leo ya Zanzibar, KQ and other airlines it operates plus other Kenyan ones vile zinatesa anga yenu, Kenya kupata ndege za Tanzania sio rahisi vile..,

Nakusihi ufanye utafiti uone., ndege zenu zina routes chache na abiria wachache kwa ujumla ukilinganisha, iwe international or domestic route.,
Yaani nakuambia ukitoa ndege za Kenya na all those operated by Kenya airways (affiliates) mnakua na white elephants..,
Kwa mfano schedule ya leo Zanzibar.., tafuta ya Mombasa unihesabie ndege za Tanzania tuone...,
1648817987683.png

1648818023591.png

1648818042551.png


Route za dala dala hapa Kenya(hakuna ndege yeyote ya kitanzania) tazama hizi hapa chache..,
(NB: Showing Arrivals or departures pekee per aiport)
Turkana county (kulee kwa ukame) (Arrivals)
1648819486754.png

Malindi (Departures)
1648819633764.png

1648819642060.png

Lamu (departures)
1648819681535.png

Ukunda (arrivals)
1648819712087.png

Eldoret (Arrivals)
1648819744583.png

Kisumu (Arrivals)
1648819840419.png
 
The best 007 huwa anaamini kwamba hakuna kitu ambacho kipo Nairobi ambacho hakipo Dar. Sasa Malazy hebu tuonyesheni ice rink ambayo ipo Tanzania.

Hizo tunazo kitambo sana kijana nyie ndio mnapata leo! Angalia hapo chini nikipata picha nzuri nitaweka. Tena tunazo zaidi ya moja.
Screenshot_20220401-162933_Opera.jpg
Screenshot_20220401-163017_Opera.jpg
Screenshot_20220401-162942_Opera.jpg
Screenshot_20220401-162322_Opera.jpg
Screenshot_20220401-162614_Opera.jpg
Screenshot_20220401-162750_Opera.jpg
Screenshot_20220401-162831_Opera.jpg
Screenshot_20220401-162920_Opera.jpg
 
The best 007 huwa anaamini kwamba hakuna kitu ambacho kipo Nairobi ambacho hakipo Dar. Sasa Malazy hebu tuonyesheni ice rink ambayo ipo Tanzania.

Duuu, jirani nyie washamba sana, mnaanza kuringishia hadi ice rink? Hadi tony wewe kweli wakutamba na ice rink? Vitu vidogo hivyo sana kwa TZ
 
Huyo ndio bwana Tony, ni mtu wa kusahau sahau kupita maelezo, usidhani kwamba hatujawahi kuweka picha za huo mchezo, tumeweka mara kibao na yeye mwenyewe amekomenti au ku like picha sema ndiyo hivyo tena memory ndogo keshasahau, kwa usahaulifu huu alionao bwana Tony cjui inakuaje huko ofisini, atakuwa anasababishia kampuni hasara mara kwa mara huyu Bwana Tony.
 
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache ambazo zimewahi kushinda vita dhidi ya wazungu, nenda umsome Chifu Mkwawa aliyempiga mjerumani, hizo zote zilikuwa mbio za kupigania uhuru wetu Watz dhidi ya mabeberu. Alafu naona umetaja South Afrika nchi ambayo pia tuliisaidia kupigania uhuru wake na marais wote wa SA huwa wanaliongea hilo wazi wazi, na co SA tu bali Tz imesaidia nchi nyingi za Afrika kupata Uhuru wake na ndio maana ni miongoni mwa nchi chache zenye kuheshimika hapa Afrika.
na dunia kwa ujumla

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom