Wacha kujidanganya. Wareno hawakuwa na lengo la kupiga Tanzania na hio ndio maana hawakutuma jeshi lao kuja kuvamia Tanzania. Wareno walichotaka ni kupigana na Frelimo pindi tu wanapovuka border na kuingia Mozambique kutoka TZ. Nakuhakikishia kwamba kama Wareno wangedeclare war against Tanzania mngeumia sana nyinyi. Ukumbuke wakati huo in the 1960s jeshi la Kenya,Tanzania na Uganda zilikuwa hovyo. Hazikuwa na equipments za kutosha kwa mfano ndege za kivita au meli za kivita au vifaru. Hawa wazungu walikuwaWacha kutafuta visingizio, Magaidi wa Mozambique wanapigwa na nchi zaidi ya 5 ikiwemo South Africa, Rwanda, Zimbabwe na Msumbiji, bado hawajatokomezwa.
Kumbuka Tanzania tulipakana na utawala wa Wareno, wenye nguvu kubwa za kijeshi, TPDF walikua wakipambana nao Uso kwa Uso kwa zaidi ya miaka 10, hatimae tuliibuka washindi, kwa kipindi chote hicho cha mapigano, bado Tanzania iliendelea kubaki salama kutokana na uimara wa Jeshi letu
ni uchafuzi wa mazingira kuwa na magari chakavu! Hamia Nigeria mzee!Acha kukurupuka, ulinisoma vizuri niliposema, "Kuna watu huwa tunapenda kuwa na collection ya magari fulani ya zamani"?
Don't you ever get tired of lying? Hakuna siku Tanzania itawaishinda Kenya in terms of health.Only 20% of Kenyans are covered, Tanzania is 23%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ichape Isiolo kwanza ndio muanze kufikiria about Nairobi.Hii Dom wallahi inaenda kuchapa Nairobi.
So Tz chapati moja ya kibandaski ni 40 bob za Kenya? Kweli maisha inawanyonga[emoji23][emoji23][emoji38][emoji276]
View attachment 2169322
Kilimani is better anywhere in Dar, including their CBD. There's a day I dared them to show us Posta roads tulinganishe na za Kilimani, wote walitiroka[emoji23]Hi Teargas naona bado mko busy na debate, freshi, outside Dar CBD hakuna anywhere to measure up na Kilimani, even that CBD itself has no such class on average.., #FACT!.
Today's question. Does Dar really deserve to be called a city?Umelililia dud ...wacha tuforce Danganya wasio kajua kaushuz nairobaryView attachment 2169421View attachment 2169426
So Tz chapati moja ya kibandaski ni 40 bob za Kenya? Kweli maisha inawanyonga[emoji23][emoji23]
basi inabidi zifuatwe hizo sheria,sababu kama muagizaji anauwezo wa kuagiza gari lililozeeka na likakaguliwa hapa basi hata likikaguliwa huko anauwezo pia wakuagiza gari iliyozeeka,Sheria zina limit ya uzee wa magari!
inabidi hii road yote ioigwe taaBuilt by indigenous company Estim construction co ltd!
Continue getting inspiration from Jellyfish [emoji23]
You don't have the electricity to do such a thing.
aliekudanganya nani ??🤣🤣🤣 nioneshe ikipeleka astronautsSiku hizi kuna spacex ambayo pia inaweza kupeleka astronauts kwernyr space station
hua unaokotaga visource vya kujidanganya kila siku na huwa unaumbukaDon't you ever get tired of lying? Hakuna siku Tanzania itawaishinda Kenya in terms of health.
22% of Kenyans have medical coverage but only 16% of Tanzanians are covered.
View attachment 2170020View attachment 2170021
sio wanatoroka nilikwambia ww hvi vita bado hujavijua🤣🤣🤣 hvi vita ni vya akili sana na hapa europe ameingia kichwa kichwa sana ngoja uone mziki sasa na sasa kiev inashambuliwa usiku mchana 😂😂😂
pointless,You don't have the electricity to do such a thing.
Tengeneza yako nawe pia ujidanganye nayo[emoji23][emoji23]hua unaokotaga visource vya kujidanganya kila siku na huwa unaumbuka
endelea mzee ojwani na kazi nzuri
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
ni lini,wapi ,mda gani ulifanya hizo tafiti zako uchwara?Tengeneza yako nawe pia ujidanganye nayo[emoji23][emoji23]
View attachment 2170079View attachment 2170080