Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mchina bana, mchina wewe tnakupenda
1648623438638.png
1648623496547.png
1648623537814.png
 
Eti Nigeria ina 4th most powerful military in Africa na ujinga kama huu unafanyika huko?
Hivyo hivyo kwa Kenya, mnajisifia eti kwasababu Kenya is "ranked highly militarily", lakini ukiangalia kwa vitendo, KDF ni ujinga mtupu sawa na Nigeria, punguzeni huu upuuzi wenu wa kuangalia "theories" na muanze kulinganisha na hali halisi "on the ground
 
most definitely nairobi..!
as in, nbi is so much expansive so much so that u cannot fit it in one single page.!, whereas dar cbd is a one-unit-pact kind of a city
cc: ichoboy01


NB: COMPARING DAR AND NBI, ON A LEVEL PLAYING GROUND, WITHOUT ANY BIAS ON EITHER SIDE

darView attachment 2168676View attachment 2168674View attachment 2168679

vs

nbiView attachment 2168675View attachment 2168746View attachment 2168681View attachment 2168677
Sikia sasa
Dar ina majengo ya kuanzia Meter 61 yapo 37
Nairobi yapo 33
ONA HAPO
Screenshot_20220330-104055_1648626138905.jpg
Screenshot_20220330-104023.jpg
 
Somalia wachana nayo kabisa bro. Nyie hamuwafahamu vizuri kwa maana wao sio majirani wenu. Kamwe Somalia haitaingia EAC wacha nikuhakikishie leo. Na ikiingia Kenya inatoka. Kenya haitaishi ndani ya nyumba moja na Somalia. Mark my words.
Kenya haina jeuri ya kutoka EAC, Kenya uchumi wake unategemea Tanzania na Uganda by 80%, hivi zaidi ya Tanzania na Uganda, ni nchi gani tena inafanya biashara ya kuuza bidhaa zake kwa wingi?
 
Back
Top Bottom