Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutosoma ng'ambo ni statistics. If you're informed, you'll know. Sio lazima nifuatilie Tanzania ndio nijue hilo. Kwa mfano, Nchi za Africa zilizo na wanafunzi wengi Marekani ni kama ifuatavyo:-

Nigeria13762
Ghana4222
Egypt3859
Kenya3710
Ethiopia2356
South Africa2224
Morocco1499
Rwanda1444
Zimbabwe1377
Ivory Coast1257
Democratic Rep. of the Congo1198
Cameroon1027

Unavyoona Tanzania haipo kwenye orodha - mmezidiwa na hata Rwanda - Kanchi ambako ni kadogo hata kushinda mkoa mmoja hapo Bongo. na sijajua hii information kwa kufuatilia nchi yoyote bali tu kuwa na interest ya kujua nchi gani Africa zina wanafunzi wengi Marekani.
listi ya mchongo mwanawane.....
asa 1000 awa si wabongo wanaosoma india na china tuu
 
Ukraine tu kulikua na wanafunzi wa kitanzania zaidi ya 900 huku kunyaland haikua hata na housemaid kama kawaida yenu

Mnatushinda kwa housemaids abroad sio students, hii battle nainunua
This is what I find funny about the Tanzanians here. They usually post figures without referencing the source of their data 😂😂😂😂. Keep on cooking your numbers 😂😂
 
Kuna kile kiramani huwa wanakisambaza.
Kuna zwazwa moja linakuambia Tz wanaosoma ng'ambo hawafikii hata wa Rwanda alafu likatoa na takwimu zake za wanafunzi wanaosoma USA zisizokuwa na source, yani mtu na akili zake kabisa anasema Rwanda iko mbele ya Tz
Alafu takwimu za USA anatumia ku generalize kwamba tunazidiwa mpk na Congo, tukisema jamaa elimu yao inawatengeneza kuwa misukule wanabisha.
 
just can't answer you at the moment, let me pass it over to Tony254 to act upon the same. he is a fully flagged economist holding B.Com(Econ)(Hon(UoN). he is well vast with matters economics, therefore fit enough to handle such a case. chao..
Hii lugha ya malkia ngumu sana
 
Kuna zwazwa moja linakuambia Tz wanaosoma ng'ambo hawafikii hata wa Rwanda alafu likatoa na takwimu zake za wanafunzi wanaosoma USA zisizokuwa na source, yani mtu na akili zake kabisa anasema Rwanda iko mbele ya Tz
Alafu takwimu za USA anatumia ku generalize kwamba tunazidiwa mpk na Congo, tukisema jamaa elimu yao inawatengeneza kuwa misukule wanabisha.

Vichwa vyao vinatumia outdated softwares.
 
Kutosoma ng'ambo ni statistics. If you're informed, you'll know. Sio lazima nifuatilie Tanzania ndio nijue hilo. Kwa mfano, Nchi za Africa zilizo na wanafunzi wengi Marekani ni kama ifuatavyo:-

Nigeria13762
Ghana4222
Egypt3859
Kenya3710
Ethiopia2356
South Africa2224
Morocco1499
Rwanda1444
Zimbabwe1377
Ivory Coast1257
Democratic Rep. of the Congo1198
Cameroon1027

Unavyoona Tanzania haipo kwenye orodha - mmezidiwa na hata Rwanda - Kanchi ambako ni kadogo hata kushinda mkoa mmoja hapo Bongo. na sijajua hii information kwa kufuatilia nchi yoyote bali tu kuwa na interest ya kujua nchi gani Africa zina wanafunzi wengi Marekani.
Maana ya kwenda nje kusoma si kutafuta elimu bora au sio? Sasa kama elimu bora inapatikana kiurahisi hapa kwetu tuende nje kufanya nini? Kusoma nje sio kitu cha kujisifia ila inaonesha there is something wrong with your education system.
 
hayo mashamba ya chai kenya nani ni owners?? si ndio wale wale wazungu wanaolima maua kwenda kuuza kwao wanawaacha wakenya maskini wanakufa njaa kila mwaka?? au nasema urongoo🤣🤣
KTDA and Sacco's control more than 80%of Kenyan tea,
Izo zingine ndio za those foreign firms like Finlay's,Unilever, Brook which still ziko listed kwa Nairobi stock exchange na Kenyans have shares ndani yao...wacha ujinga

Foreign tea farms Ni za Brook, Finlay's, chamjii and Unilever pekee
 
Hiyo chai inayosemekana ni ya Kenya haitoki Kenya peke yake, chai ya Rwanda, Burundi, DRC, uganda, Malawi, Tanzania ipo hapo sababu ya international Mombasa tea auction.
After auctions Kila chai inauzwa abroad as per the country of Origin
Wacha kuwa mjingaJinga
 
KTDA and Sacco's control more than 80%of Kenyan tea,
Izo zingine ndio za those foreign firms like Finlay's,Unilever, Brook which still ziko listed kwa Nairobi stock exchange na Kenyans have shares ndani yao...wacha ujinga

Foreign tea farms Ni za Brook, Finlay's, chamjii and Unilever pekee
Mwambie Tanzanian biggest Tea farm is owned by Kenyan.
 
Back
Top Bottom