Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya tumepakana na alshabaabi walipuzi "uso kwa uso" sio kama TZ!!nyie munatikiswa na jeshi mapanga!
Sisi Kenya tunajilinda kikamilifu hatusaidiwagwi na mazezeta,amison,ama "NATO kama saudi arabia!!
Jesh letu la KDF limefanya bidii yake yote na kuimarisha usalama 90%anagalia Nigeria bokoharam inavyofanya na bado milliary yake iko ranked top kuliko KDF,lakini KDF ina mafanyikio makubwa kuliko Jeshi lao!! Kama sio sio Bidii ya KDF sijui Kenya ingekua aje!!Mungu abariki KDF wote

Tunaendelea mkiendelea tu na wivu yenu hapo!
Wacha upuuzi wako, Kenya ni miongoni mwa nchi zisizokua na usalama duniani, Peace index ranked 125, Tanzania ranked 57, Sasa KDF inafanya kazi gani?, Ethiopian imepakana na Alshababs uso kwa uso lakini imefanikiwa kudhibiti Alshabab attacks, ukweli ni kwamba KDF is very weak army, acheni upuuzi wenu wa kupinga ukweli na kupenda kujisifu.
 
Heeeheee................sawa boss, the consultant was Yushin Engineering Corporation from South Korea. Nimekuwekea link hapo kutoka TanRoads. Una lingine? šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
Poa, ila mengine yote Tanroads wamekuwa wakifanya usanifu wenyewe, mfano daraja la Nyerere, Mkapa, Kikwete na hata hizo flyover kama ya Mfugale na kijazi zote ni kazi za Tanroads.
Heeheee, sikuona hilo. Maneno mengine mimi hutumia humu ndio munielewe maanake nikitumia lahaja ya Kenya hamtopata kitu. Ni ukweli ng'ambo ni neno la kizamani, hadi huku hatulitumii, tunasema majuu ila ningesema 'majuu' hungenielewa ndo maana nikasema ng'ambo. Heehee............kama ni story ya kwenda na wakati Kenya hamuiwezi.
šŸ˜…
Haha, majuu ni neno lililotumika Tanzania miaka ya 80's - 90's.
 
Wacha upuuzi wako, Kenya ni miongoni mwa nchi zisizokua na usalama duniani, Peace index ranked 125, Tanzania ranked 57, Sasa KDF inafanya kazi gani?, Ethiopian imepakana na Alshababs uso kwa uso lakini imefanikiwa kudhibiti Alshabab attacks, ukweli ni kwamba KDF is very weak army, acheni upuuzi wenu wa kupinga ukweli na kupenda kujisifu.
unaona hio attitude yako!😬watu kama wwe ndio wanaotumiwa kuhangaisha nchi zengine ambazo ziko mbele ya nchi yao!
*Wivu!
*Uchawi!
Usithani hao alshaababi na wwe mko na tofauti,wwe ni silaha tu umekosa,hio wivu yako na watu kama wwe ndio inaangamiza uchumi wa Afrika!!
Instead of solving your own problems in peace,you redirect them to your well built up neighbour!unabaki ukilaumu jirani eti yeye ndio amefanya usiendelee!😬😬Nikama umeshikwa makende milele!
Na Nime logšŸ““
 
Poa, ila mengine yote Tanroads wamekuwa wakifanya usanifu wenyewe, mfano daraja la Nyerere, Mkapa, Kikwete na hata hizo flyover kama ya Mfugale na kijazi zote ni kazi za Tanroads.

As an engineer I can tell you for free, Nyerere bridge was not designed by Tanzanians. Labda hizo zingine.

Haha, majuu ni neno lililotumika Tanzania miaka ya 80's - 90's.

You know that's a lie, lol.
 
unaona hio attitude yako!watu kama wwe ndio wanaotumiwa kuhangaisha nchi zengine ambazo ziko mbele ya nchi yao!
*Wivu!
*Uchawi!
Usithani hao alshaababi na wwe mko na tofauti,wwe ni silaha tu umekosa,hio wivu yako na watu kama wwe ndio inaangamiza uchumi wa Afrika!!
Instead of solving your own problems in peace,you redirect them to your well built up neighbour!unabaki ukilaumu jirani eti yeye ndio amefanya usiendelee!Nikama umeshikwa makende milele!
Na Nime log
Sasa kusema kwamba Kenya ni nchi isiyokua na usalama duniani, na kusema kwamba KDF ni dhahifu Sana, vipi nimekosea wapi? Kwani huo SI ndio ukweli halisi.
 
asante kwa kunionesha mali ya mchina amabayo ataimiliki kwa miaka 30 na hakuna mkenya atapita bila fee kwenda kwa mchina imegine
tuktuk hazitaruhusiwa
baiskeli hazitaruhusiwa
boda boda hazitaruhusiwa
wheelbarrow hazitatuhusiwa
na mkenya mtembea kwa miguu hataruhusiwa

ni mlevi pekee
Infrastructure ikiwekwa hasa barabara inatakiwa imnufaishe kwanza the common mwananchi the rest wana uwezo wa kulipia. Sasa kama pikipili waenda kwa migui, baiskeli haviruhusiwi mwananchi wa chini anafaidika na nini kwa hiyo Infrastructure? Kweli some Africans way of thinking never fails to amaze.
 
The only steel flyover in East Africa. In bongolala voice 'nitajie chochote kilicho Dar na hakipo Nairobi......'🤣

Kweli kabisa me ni mmojawapo sikuwa ninajua upuuzi wa hawa jamaa, wanatutengenezea mazingira ya kuonekana wabaya huko nje. Kila kitu kizuri cha Tanzania walikuwa wanakiita chao.
DUBAI EXPO 2020 tuliwaumbua, Kilimanjaro iko tz, Ngorongoro tz, Serengeti tz,Olduvai gorge tz, mpaka wazungu wakawa wanashangaa hivi vitu vyote viko Tanzania mbona tuliambiwa vipo jirani ???
wakenya siyo, ukitaka kuwa salama ukiwa nje ya nchi kaa mbali na hawa hayawani
 
Kenya tumepakana na alshabaabi walipuzi "uso kwa uso" sio kama TZ!!nyie munatikiswa na jeshi mapanga!
Sisi Kenya tunajilinda kikamilifu hatusaidiwagwi na mazezeta,amison,ama "NATO kama wanavyosaidiaga saudi arabia!!"
Jesh letu la KDF limefanya bidii yake yote na kuimarisha usalama 90%anagalia Nigeria bokoharam inavyofanya na bado milliary yake iko ranked top kuliko KDF,lakini KDF ina mafanyikio makubwa kuliko Jeshi lao!! Kama sio sio Bidii ya KDF sijui Kenya ingekua aje!!Mungu abariki KDF wote

Tunaendelea mkiendelea tu na wivu yenu hapo!😬
wewe ni zaidi ya mpumbavu, kama jeshi la kdf limefanya bidii kuimarisha usalama, usa millitary base nchini kenya ni ya nini? na jiulize ni kwanini haipo Tanzania? kenya is a shithole
 
Mimi huwa naona Watanzania wengi humu wakijipiga vifua kwamba Tanzania inaweza kushindana na Kenya. Huwa nashindwa wamevuta bangi gani? Tangu lini Tanzania ikacheza ligi moja na Kenya. Tanzania itoe wapi apartments kama hizi?
L.View attachment 2167773View attachment 2167774View attachment 2167775
Cc joto la jiwe Geza Ulole ichoboy01 The best 007 tuusan. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.

View attachment 2167772
tatizo lako umejifungia hapo kariobangi na kibera. Tanzania ni zaidi ya unachowaza
 
Kenya haina umuhimu wowote kwa uchumi wa Russia, Sasa hiyo saction watawekaje, ni sawa na ombaomba barabarani kumuwekea vikwazo vya uchumi Dangote
hahahahaha, wakunya yananunua mbolea, ngano, mafuta kutoka russia wanaume wamekata supply baada ya kiherehere chao yanatafutana sasa. Horticultural products wakunya walikuwa wanauza kwa wingi Russia imeshakula kwao wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom