Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

zwazwa hataki avic iwe mali ya mchina 😂😂😂😂😂😂 jamani hii dunia inavituko
 
alinunua ipi na inaitwaje nipe jina nasubiria
Lia pole pole
Screenshot_20220328-201035.jpg
 
Ukraine tu kulikua na wanafunzi wa kitanzania zaidi ya 900 huku kunyaland haikua hata na housemaid kama kawaida yenu

Mnatushinda kwa housemaids abroad sio students, hii battle nainunua
Duh! Jamaa una nyundo nzito kwa hawa jamaa, housemaids, nimecheka sana unajua kuwaweka mahala pake hawa jamaa. Nimekuwa nikiwafuatilia nikiwa nje ila nimejifunza kitu kwamba mmeamua kuwasemea watanzania walio wengi ambao hawawezi kuwa jukwaani hapa. Mmetufunza mengi ambayo hatukuwa tukiyajua kuhusu Kenya na Wakenya na yale waliyokuwa wakisema juu ya nchi yetu. Kazi njema sana wazalendo wa nchi yetu (Tanzania).
 
baadhi ya watanzania wengi hawapo well informed, kenya ni zaidi ya adui wa maendeleo ya watanzania, watanzania inabidi tujifunze kutokana na makosa ya kuiamini kenya. Kenya hawana ubinadamu inapokuja issue ya maendeleo ya wengine. wakunya wana wivu mnoo
Kweli kabisa me ni mmojawapo sikuwa ninajua upuuzi wa hawa jamaa, wanatutengenezea mazingira ya kuonekana wabaya huko nje. Kila kitu kizuri cha Tanzania walikuwa wanakiita chao.
DUBAI EXPO 2020 tuliwaumbua, Kilimanjaro iko tz, Ngorongoro tz, Serengeti tz,Olduvai gorge tz, mpaka wazungu wakawa wanashangaa hivi vitu vyote viko Tanzania mbona tuliambiwa vipo jirani ???
 
Back
Top Bottom