joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Umeshamaliza kuharisha chooni?Japo nipo busy kinyama ila hii comment siwezi kuiwacha hivyo. Mawazo kama haya yanaweza kufanya mtu aharishe chooni. Mawazo kama haya sio ya mtu mwenye akili timamu. Sasa utasemaje kwamba investors kufungua maofisi Kenya hakuisaidii Kenya? Hivi unajua microsoft kwa mfano inalipa rent pesa ngapi kwa mwaka? Tuzungumza mambo ya millions of dollars worth of rent per year na pesa hio inabaki hapa Kenya na kuzunguka hapa Kenya. Isitoshe wameajiri Wakenya wengi sana na salary yao ni "international scale" salary. Vile vile wanalipa ushuru kwa serikali ya Kenya. UN nayo imeajiri hundreds of Kenyans na pia salary yao ni "international scale ".


, Nani amesema haisaidii Kenya, tunachosema ni kwamba Kati ya Kenya yenye ofisi nyingi za UN na international companies na Tanzania yenye kupokea FDI nyingi na uwekezaji mkubwa, ni nchi ipi yenye kufaidika zaidi kiuchumi?, Nikatoa mfano wa mwaka Jana ambapo USA pekee imewekeza $1.5B Tanzania, na Kenya $353M tofauti ya $1.147B, ni ofisi ngapi zinahitajika kuziba Hilo pengo kutokana na rent na salaries za watumishi watakaowalipa?

