Kutosoma ng'ambo ni statistics. If you're informed, you'll know. Sio lazima nifuatilie Tanzania ndio nijue hilo. Kwa mfano, Nchi za Africa zilizo na wanafunzi wengi Marekani ni kama ifuatavyo:-
| Nigeria | 13762 |
| Ghana | 4222 |
| Egypt | 3859 |
| Kenya | 3710 |
| Ethiopia | 2356 |
| South Africa | 2224 |
| Morocco | 1499 |
| Rwanda | 1444 |
| Zimbabwe | 1377 |
| Ivory Coast | 1257 |
| Democratic Rep. of the Congo | 1198 |
| Cameroon | 1027 |
Unavyoona Tanzania haipo kwenye orodha - mmezidiwa na hata Rwanda - Kanchi ambako ni kadogo hata kushinda mkoa mmoja hapo Bongo. na sijajua hii information kwa kufuatilia nchi yoyote bali tu kuwa na interest ya kujua nchi gani Africa zina wanafunzi wengi Marekani.