Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbona ujenzi wa kijuakali bado hapa si ndo wall ya flyover lilianguka na kuua!
20220226_175910-1.jpg

Kangemi haipo karibu na Kibera. Kangemi mahali wall ilianguka ni mbali na hapa.
 
Haya ndio mambo tunayasema kila siku umu ila wanapinga, huwezi kuta nchi kama moroko watu wanakufa kwa njaa ilhali wana gdp sawa na nyinyi na wao nchi nzima ni jangwa sasa hapa mnajiteteaje
 
Haya ndio mambo tunayasema kila siku umu ila wanapinga, huwezi kuta nchi kama moroko watu wanakufa kwa njaa ilhali wana gdp sawa na nyinyi na wao nchi nzima ni jangwa sasa hapa mnajiteteaje

GDP yao ni fake mno, watu wanakufa njaa halafu wapo hapa kujipima nguvu na Tanzania, halafu sijawahi kujua zaidi ya 70% ya counties za kenya huwezi kusafiri bila escorts za police sababu ya insecurities

Teargas NairobiWalker Tony254 mnajua kwamba majority ya counties zenu zipo under the siege lakini hamsemi

Kenya ni failed state 100%
 
Back
Top Bottom