Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🙏🙏🙏 Madam President is doing big quitely,just in one year

233 Health centres 👇

Screenshot_20220328-114505.png
 
KTDA and Sacco's control more than 80%of Kenyan tea,
Izo zingine ndio za those foreign firms like Finlay's,Unilever, Brook which still ziko listed kwa Nairobi stock exchange na Kenyans have shares ndani yao...wacha ujinga

Foreign tea farms Ni za Brook, Finlay's, chamjii and Unilever pekee
hvi munamuelewa huyu 😂😂😂😂
 
After auctions Kila chai inauzwa abroad as per the country of Origin
Wacha kuwa mjingaJinga
Ndiyo ulivyofundishwa shule hivyo kwamba chai inatoka nchi jirani zen inakuja Mombasa alafu inawekwa label ya Kenya lkn vitabu vitasoma majina ya hizo nchi au sio, mwalimu wako alikuwa na kazi kubwa
 
Mwambie Tanzanian biggest Tea farm is owned by Kenyan.
Hawa watu wanafaa kutembea bomet county the biggest producer of TEA IN KENYA 100% KTDA and Sacco's no foreign farms there,
Same case to nandi ,vihiga,k kisii Nyamira(minus Finlay's ya mzungu) muranga nyeri kirinyaga tharaka nithi Meru elgeyo marakwet and kakamega,
Zote Ni black own TEA
Kericho and kiambu ndio 50% owned by foreign firms
Kericho na kiambu
 
Back
Top Bottom