Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The economic benefits of Expressway ishaanza kionekana. Employed Kenyans who will run the operation of the road from the main office. Others will be employed at tolling booths.

20220326_184811.jpg
 
Makenya manafki sn, huyu c alikuwa anakupiga pini mpk ukawa unamwita idiot au sio wewe? Leo kageuka kuwa anaakili baada ya kuwa anatema nyongo zilizosababishwa na kupewa ukweli
Just because I have not mention you should not make you mad. You don't deserve any mention at all hadi hile siku utaanza kutumia akili.
 
Tanzania needs to wake up. How do we attract foreign firms the way Kenya does?

Nakumbuka kipindi cha Kikwete alipeleka mkuu wa Microsoft Dodoma akapiga bwabwaja sijui Microsoft center itajengwa UDOM mpaka ameondoka holla! Alipokuja JPM nikajua mradi umekufa!
 
Makenya manafki sn, huyu c alikuwa anakupiga pini mpk ukawa unamwita idiot au sio wewe? Leo kageuka kuwa anaakili baada ya kuwa anatema nyongo zilizosababishwa na kupewa ukweli
Kelele nyingi lakini mchango wa muhimu huna. Toa suggestion za ku-attract foreign investors kama jinsi Kenya wanavyofanya ama zaidi yao ikiwezekana.

Tuna tech district (Silicon Dar) ambayo ingeweza kuleta manufaa Mengi tu kama foreign tech companies such as Microsoft zingejiunga nasi.
 
Back
Top Bottom