chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,313
- 45,115










bado ninyi geni sana katika hizi harakati






Wacha mchezo bwana. Hakuna lami hapo ni mchanga tupu. Kenya huwezi kuona upuzi kama huu kwenye middle-class estates. Ni lami kila mahali. Yaani nyie huwa hamtaki kukubali kwamba mpo nyuma ya Kenya. Hata wakati wewe huna aibu kutupostia middle class neighbourhood ambayo haina lami. Huku Kenya lower middle class estates kama Umoja na Donholm zina lami. Upper middle class neighbourhoods kama Buruburu zina lami. Vitu gani unapost hapa? Mchanga wa matope kukinyesha unatembea kwa matope? Huku Kenya hata baadhi ya slums zimeanzwa kuwekwa lami. Wacheni mchezo bwana. Yaani sio Nairobi tu, hata Nakuru ambayo ni 4th biggest city kuna lami hadi kwenye estates. Msilazimishe tufanane.Dom, the most beautiful and planned City in East and Central AfricaView attachment 2164815View attachment 2164816View attachment 2164817View attachment 2164818View attachment 2164819View attachment 2164820
Napenda ukiwa unaongea kwa uchungu kama hivi, inaonesha jinsi gani sindano imepenya, but again, wewe huwa ni mtu wa kusahau sahau sn, yn tayari ushasahau kwamba hyo ni Dodoma na hapo bado inajengwa toka mwaka 2016, yn ushasahau bado kuna majengo yanaendelea kujengwa now unataka pawe na lami, yani tuweke lami wkt ujenzi wa majengo haujaishaWacha mchezo bwana. Hakuna lami hapo ni mchanga tupu. Kenya huwezi kuona upuzi kama huu kwenye middle-class estates. Ni lami kila mahali. Yaani nyie huwa hamtaki kukubali kwamba mpo nyuma ya Kenya. Hata wakati wewe huna aibu kutupostia middle class neighbourhood ambayo haina lami. Huku Kenya lower middle class estates kama Umoja na Donholm zina lami. Upper middle class neighbourhoods kama Buruburu zina lami. Vitu gani unapost hapa? Mchanga wa matope kukinyesha unatembea kwa matope? Huku Kenya hata baadhi ya slums zimeanzwa kuwekwa lami. Wacheni mchezo bwana. Yaani sio Nairobi tu, hata Nakuru ambayo ni 4th biggest city kuna lami hadi kwenye estates. Msilazimishe tufanane.











Najua nipo kitambo toka 2017.Heheheheeee wewe jamaa hii co Manchester united special thread tafadhali sn, hapa hakuna kosi la dunia, hapa tunapigania nchi bro![]()
Mji tunaumaliza kwa miguu ndani ya 3 hours tuu halafu nakaa Simmers na sip lager yangu taratibu.Mbona huwa mkitembea Kenya mnarudi kwenu kujisifu kwa mumetembea Kenya?
Hapana wewe post tu unachotaka.Najua nipo kitambo toka 2017.
Samahani basi mkuu, ila toka Magufuli afe nishapoteza Confidence ya kushindana humu na mambo yanavyoenda. Nimebaki kupendekeza pendekeza baasi.
Sorry mkuu, peace. Nitakua mpenzi mtazamaji basi.
Mbona Karen ni tope la goma? 🤣Wacha mchezo bwana. Hakuna lami hapo ni mchanga tupu. Kenya huwezi kuona upuzi kama huu kwenye middle-class estates. Ni lami kila mahali. Yaani nyie huwa hamtaki kukubali kwamba mpo nyuma ya Kenya. Hata wakati wewe huna aibu kutupostia middle class neighbourhood ambayo haina lami. Huku Kenya lower middle class estates kama Umoja na Donholm zina lami. Upper middle class neighbourhoods kama Buruburu zina lami. Vitu gani unapost hapa? Mchanga wa matope kukinyesha unatembea kwa matope? Huku Kenya hata baadhi ya slums zimeanzwa kuwekwa lami. Wacheni mchezo bwana. Yaani sio Nairobi tu, hata Nakuru ambayo ni 4th biggest city kuna lami hadi kwenye estates. Msilazimishe tufanane.
Hahaha wewe hata ulisomea Kenya. Sindio? Hata kizungu chako kinadhibitisha hilo.Mji tunaumaliza kwa miguu ndani ya 3 hours tuu halafu nakaa Simmers na sip lager yangu taratibu.
Wacha mchezo bwana.
I sea a lot of Kenyan registered vehicles in Tz and also most of schools visits by Kenyan schoool are done in TzHahaha nigga just just the fck up,Kenya is one of the most chilled area code.i see so many Tz,Ug n Sudan number plates and no one cares.on the other hand when we want to visit Tz with our personal cars you become a marked man, you'll practically be stopped everywhere,shitty neighbors.
Mkuu wala usijali wewe post chochote hakuna mtu wa kukupangia cha kupost humu, ni kama kule kwenye thread yetu pendwa.Najua nipo kitambo toka 2017.
Samahani basi mkuu, ila toka Magufuli afe nishapoteza Confidence ya kushindana humu na mambo yanavyoenda. Nimebaki kupendekeza pendekeza baasi.
Sorry mkuu, peace. Nitakua mpenzi mtazamaji basi.