Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are you writing a long story? Tushakubaliana kuwa ATCL only generates $70M dollars in revenue compared to KQ which is racking a whopping $520M[emoji23][emoji23][emoji23]
mm nakwambia hvi ww liaaa lakini ukweli unaujua 🤣🤣🤣 sasa jiandae kisaikolojia kuskia mwaka huu ndege tano kubwa zinaingia

boeng 767 freighter moja
Airbus A320 mbili
bombadier q400 moja
boeing 787 dreamliner moja
 
mm nakwambia hvi ww liaaa lakini ukweli unaujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa jiandae kisaikolojia kuskia mwaka huu ndege tano kubwa zinaingia

boeng 767 freighter moja
Airbus A320 mbili
bombadier q400 moja
boeing 787 dreamliner moja
Yeah, ukweli Kila mtu anajua kuwa ATCL only generates a revenue of $70M and KQ generates $520M. That's the only truth the whole world knows[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Si huwa mnasema ATCL haitoi annual financial statements, ss hii figure umeitoa kwa mama Ngina au?
Magufuli ndio hakuwa anakubali financial statements zitolewe. Tangu Samia aingie saa hii vitu vinawekea wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]. And who doesn't know that ATCL only generates $70M in revenue?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Watanzania tuacheni unafiki.. we all know kikwete alikuwa anatuletea unelectrified sgr kama ya wakenya kutoka kwa mchina
Shida iko moja, watanzania wengi walio serikalini wamekariri ili udumu kazini lazima uwe na kaumalaya malaya flani, ss nani asiyejua kwamba electrifitried SGR ni wazo la Magu? Kwanza kama sio Magu hata hyo diesel SGR ingeishia kwenye makaratasi tu. Hizi harakati zote mpk unaona kwa ss viongozi wanathubutu kufanya mambo makubwa ni kwa ajili ya Magu, ni ngumu kumtenga Magufuli na maendeleo ya ss ya Tz ni ngumu sana kama ilivyo kupika chai kwa kibatali.
 
Hata hii pia bado watalaumu Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

1648373977020.jpg
 
Back
Top Bottom