Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutambua kama hilo dude liko kwenye gari au ndege kabla ya kutumwa? Ni ngumu, labda teyari uwe na intelejesia au utumie satellite, kutuma signals duniani kupima kila kitu kilichopo ardhini na majini, signals zikirudi ufanye analysis ( mfano mass spectrometry) kujua kama ndiyo lenyewe. Na hapo lazima teyari uwe unajuwa contents ( chemical compositions) za hilo dude, kitu ambacho huwa ni siri. Kifupi, siyo rahisi.
Ikiwa hypersonic missiles zimekuw jangaa je warusi wanazo silaha gn yinge kali wanazo tegema mambo yakienda sideways? Apart from Nyuki
 
Hujajibu swali zaidi ya kuonesha hasira kama upo kwenye mzunguko wako, nauliza hivyo vipesa mnavyokusanya huwa mnavipeleka wapi mana njaa iko pale pale kila siku, barabara hamna uwezo wa kujenga ila mnajengewa na Mchina, mishahara hamna uwezo wa kulipa, je hivyo vipesa vinaenda wapi? Muulizeni uhunye na mama Ngina wanavipeleka wapi hivyo vipesa.

Pesa/faida ya Equity bank inaenda kwa shareholders wa Equity bank. Mimi nikiwa mmoja wao.
You're welcome.
 
Wewe unajua maana ya real Gdp kweli? Real gdp ni gdp bila inflation. Kwa hivyo uchukue normal gdp kisha uondoe inflation ndio upate real gdp. Real gdp huwa ndogo kushinda normal gdp. Hata Kenya real gdp yetu iko chini mno, ipo around $87 billion wakati norminal gdp yetu iko $109 billion. Wewe pengine ulimaanisha gdp pppp ya Tanzania ipo $150 billion lakini sio real gdp. Gdp ppp inaweza kuwa kubwa kushinda norminal gdp. Wikipedia inasema kwamba gdp ppp ya Tanzania ni $200 billion ambayo nakubali iko juu mno. Hapo kwa gdp ppp mnatisha kweli.


Ndio mjue parchasing power ya Tz sio level yenu
 
Where is the density and amazing view?



FOYCJ5NXsAkO7CT


VS

FOYCKhTX0AMRvHu

Am here now.., been awhile! Train za umeme hazijafika bado?

.., napita tu let me start with Mr. "my take"..,
Am seeing Nairobi Westlands alone beats the better looking part of Dar is slum hands down.., yaani ni westlands vs Dar city centre., watu wa density eti😆😆😆
1648025523944.png

The best of Dar, inayo ficha aibu ilioko 80% ya jiji.,😛😂😂🤣🤣🤣
1648025537748.png
 
Uchumi jumuishi

Kuliko mwekezaji kutoka ulaya kuja kujenga shopping mall kubwa na yeye kumonopolize retail trading naunga mkono masoko makubwa ya kisasa namna hii yanayotoa fursa kwa wenye hali ya chini kuingia kwenye retailing trade

Huwa nawashangaaga wakenya wanavyojitapa wana malls nyingi kubwa wakati zinamilikiwa na wageni na wao ajira ni tatizo, Mzungu anauza mpaka ndizi mbivu huku mkenya mlalahoi hana sehemu ya kupata mlo mmoja!

Mna la kujifunza hapa Dodoma


Just because you don't have malls in Tanzania haimanishi that you don't want them, it's only that you don't have the money to build them. If I may ask, list those malls owned by foreigners tuone kama zimefika hata Tano.
 
Sio kwamba anafurahia waukraine wanauliwa, anachao waonesha ni propaganda zinazo sambazwa na wenzetu wa west haviwiani na ukweli. Kwa mtu mwenye akilizake timamu wote tunajua NATO ndo chanzo wa vyote hivi lakini kuna wachache wetu humu ndani tunajitoa ufahamu. Ukweli ni kwamba russia bila kutumia mabavu mmarekani ata endelea kumindermine mrusi tu. Na co kwamba i condone anacho fanya putin lakn their wasn’t any other way. So I sympathies tho it’s a tragic. We all know USA ain’t shit. Na haya maswala yakushambuliana cc wenyewe humu ndani out of some egle shit tuache, tuweni kitu kimoja , understand and sympathies with one another as Tanzania’s.


Tatizo wa TZ wahumu ndani wengine umachinoo ni mwingi ambayo nikiaangalia upande wapili huko kunyanya land hawana iwapo they are just delusional tho Hawa attack each other kama sisi. Tuacheni hizo tabia sithani kama inasaidià mtu yeyote katika huu uzi
huyo achana nae anakwambia mwanza kuna slum wakat mm nimezaliwa huko naijua mwanza in out yeye anajitia ujuaji eti anaijua mwanza yani ni mtu fulani hujifanya kila kitu anakijua 😂😂😂😂 alaf hata ukiangalia maswali yake yamekaa kidharau dharau
 
Botswana na Namibia waliwaondoa watu wanaoharibu hifadhi.

Uganda nayo imewaondoa wanaojiita indigenous,kwa nini Tanzania inajivuta vuta kuondoa Wamasai wanaozidi kuharibu hifadhi kwa visingizio lukuki?

Kazi nzuri ya uhifadhi amefanya Mseven hapa 👇

Screenshot_20220323-095036.png
 
Hivi nikuulize, ni kitu gani kimewazuia kuandika na kurekodi hio gdp yenu kubwa kwenye makaratasi? Au mumekosa vitabu na kalamu tuwauzie?
Viongozi walikuwa na mtazamo hasi hasa ikizingatiwa kuwa GDP ingekuwa kubwa tungekosa preferential treatment kwenye biashara na EU na USA remember AGOA everything but arms etc na pia bilateral dealings zingebidi zibadilishwe
 
Back
Top Bottom