Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We are going through clean energy

Screenshot_20220322-222532.png


Screenshot_20220322-222616.png
 
Na kama kuna sovereign state kwa nini tunalazimishana kuwa against Russia.
Juzi America anampiga mkwara China endapo atamsaidia Russia.
Hii Dunia kungekuwa kuna uhuru wa nchi kujiamulia mambo kwa manufaa yake Afrika Tungekuwa mbali

Hapo sasa ndo patamu kwann watuchagulie upande wa kuegemea au kwann wa freez account za Afghanistan kwa sababu eti wanaminya haki za wanawake sababu zipo kibao za kudhibitisha marekani anatumia mabavu kuingilia uhuru wa nchi zingine ila huyo jamaa kamuona mrusi tuu Ndio kakosea
 
Aisee huyu atapeleka vita huko!



Napendekeza huyu au mtu mwenye CV kama yake



Naona tangu Manara awe msemaji kila mpuuzi anataka kuwa msemaji!
 
TZ wenzenu ndio hao wanazidi kuwaambia venye vitu ziko kwa ground...wana sema Nairobi ndio baba lao..alafu kumbe mumekosa exposure..ndio maana mko apa Jamii forum..muki yap yap...maneno..yenye hayana msingi..kubalini Nairobi ipo juu..

 
Uchumi jumuishi

Kuliko mwekezaji kutoka ulaya kuja kujenga shopping mall kubwa na yeye kumonopolize retail trading naunga mkono masoko makubwa ya kisasa namna hii yanayotoa fursa kwa wenye hali ya chini kuingia kwenye retailing trade

Huwa nawashangaaga wakenya wanavyojitapa wana malls nyingi kubwa wakati zinamilikiwa na wageni na wao ajira ni tatizo, Mzungu anauza mpaka ndizi mbivu huku mkenya mlalahoi hana sehemu ya kupata mlo mmoja!

Mna la kujifunza hapa Dodoma

 
hebu leta terminal inafanana na Murtala Mohammed Airport hapo Kunyaland!
Hio airport nikama jnia, ukiwa short final while landing ni maslums tu unapita, the only thing that murtala beats jkia ni number of private jets that visit
 
Hio airport nikama jnia, ukiwa short final while landing ni maslums tu unapita, the only thing that murtala beats jkia ni number of private jets that visit
Thats the brutal naked truth n fact! ni kwamba the whole of Kunyaland haina facility kama the new terminal at Murtala Mohamed International airport! mkunya, Stop being salty and hating!
 





MY TAKE
Sasa mama usiishie hapo, kwa kuanzia jenga kama hizi Dodoma * 3, Arusha, Mwanza, Mbeya, Zanzibar na Tanga. Yaani kila jiji liwe angalau na makazi namna hii!
 
Back
Top Bottom