Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni kenge ndugu,wanyama wameongezeka Sana na hata hilo zoezi lazima lipewe idhini na mamlaka za hifadhi za wanyama Dunia.

Uko misinformed Sana,mwaka 2020 Serikali ilianzisha rasmi bucha za wanyama pori na sababu ni kama hizo hizo hapo juu.

Shida yako wewe ni nini hasa?
Jiwe la mtoni
 
Why do you feel attacked while I only asked you a simple, non-threatening question? Do you find it fun that Russia is invading a sovereign country?
Sio kwamba anafurahia waukraine wanauliwa, anachao waonesha ni propaganda zinazo sambazwa na wenzetu wa west haviwiani na ukweli. Kwa mtu mwenye akilizake timamu wote tunajua NATO ndo chanzo wa vyote hivi lakini kuna wachache wetu humu ndani tunajitoa ufahamu. Ukweli ni kwamba russia bila kutumia mabavu mmarekani ata endelea kumindermine mrusi tu. Na co kwamba i condone anacho fanya putin lakn their wasn’t any other way. So I sympathies tho it’s a tragic. We all know USA ain’t shit. Na haya maswala yakushambuliana cc wenyewe humu ndani out of some egle shit tuache, tuweni kitu kimoja , understand and sympathies with one another as Tanzania’s.

Tatizo wa TZ wahumu ndani wengine umachinoo ni mwingi ambayo nikiaangalia upande wapili huko kunyanya land hawana iwapo they are just delusional tho Hawa attack each other kama sisi. Tuacheni hizo tabia sithani kama inasaidià mtu yeyote katika huu uzi
 
Na ukubwa wote wa majeshi ya dunia , ikiongozwa na marekan hawajajua jinsi ya kuintercept hizi hypersonic missiles...ni kama jamaa anawambia ukiach nyuki niko n vitu bora pia
Tunaona baada ya miale kuakisi, kama hakuna kiakisi, hatuoni.

Kioo hufanya kazi ya kuakisi ili tuone taswira yetu. Vitu vilivyo angani huakisi miale kama kioo.

Haya madude husafiri kwa mwendo mkali sana, na yakiwa kwenye hili anga letu, msuguano hutokea kati ya dude hilo na hewa na kusababisha joto kali sana. Joto hilo huichoma hewa iliyokaribu na dude hilo nakutengeneza kitu kinachoitwa plasma, na hii inatabia ya kuzuia miale kuakisiwa. Hivyo ukituma miale kutoka chini inanyonywa na hiyo plasma, kwa hiyo hakuna uakisi ( ni sawa na anga tupu).
 
Sio kwamba anafurahia waukraine wanauliwa, anachao waonesha ni propaganda zinazo sambazwa na wenzetu wa west haviwiani na ukweli. Kwa mtu mwenye akilizake timamu wote tunajua NATO ndo chanzo wa vyote hivi lakini kuna wachache wetu humu ndani tunajitoa ufahamu. Ukweli ni kwamba russia bila kutumia mabavu mmarekani ata endelea kumindermine mrusi tu. Na co kwamba i condone anacho fanya putin lakn their wasn’t any other way. So I sympathies tho it’s a tragic. We all know USA ain’t shit. Na haya maswala yakushambuliana cc wenyewe humu ndani out of some egle shit tuache, tuweni kitu kimoja , understand and sympathies with one another as Tanzania’s.

Tatizo wa TZ wahumu ndani wengine umachinoo ni mwingi ambayo nikiaangalia upande wapili huko kunyanya land hawana iwapo they are just delusional tho Hawa attack each other kama sisi. Tuacheni hizo tabia sithani kama inasaidià mtu yeyote katika huu uzi
NATO-backed Ukraine ndio kinachoikasirisha Russia, sio vinginevyo. Lakini Ukraine ni sovereign country, and it can make its own decisions, including being a member of NATO. So, Russia is an A-hole here. Some other dude thinks what Russia is doing in Ukraine is very fun. All the killing, all the violence, which makes me wonder why would anyone think these things are fun? Psychopaths of course. People here are mentally ill and it's a fact. Regarding "kushambuliana wenyewe" mimi wala sina nia ya kumshambulia mtu. Nimemuuliza ichoboi swali kanijia juu utadhani nimemtukana. Obviously ameshanichukia tangu nimwambie kuwa Mwanza, mahali alipozaliwa kuna slums. Honestly, I do not give a damn what people think of me or say about me. You cannot possibly expect everyone here to be like-minded. There will be many instances where people think differently, and that's what you're seeing. It's not a bad thing at all. It's just human nature.
 
NATO-backed Ukraine ndio kinachoikasirisha Russia, sio vinginevyo. Lakini Ukraine ni sovereign country, and it can make its own decisions, including being a member of NATO. So, Russia is an A-hole here. Some other dude thinks what Russia is doing in Ukraine is very fun. All the killing, all the violence, which makes me wonder why would anyone think these things are fun? Psychopaths of course. People here are mentally ill and it's a fact. Regarding "kushambuliana wenyewe" mimi wala sina nia ya kumshambulia mtu. Nimemuuliza ichoboi swali kanijia juu utadhani nimemtukana. Obviously ameshanichukia tangu nimwambie kuwa Mwanza, mahali alipozaliwa kuna slums. Honestly, I do not give damn what people think of me or say about me. You cannot possibly expect everyone here to be like-minded. There will be many instances where people think differently, and that's what you're seeing. It's not a bad thing at all. It's just human nature.
The thing is umeamua kufumbia macho the real motive ya USA through nato on russia, Kwaio umebaki na ukraine it’s a “sovereign” state. It was a deal they had back then for NATO to not expand as agreed but they still expanded. Now who broke the deal? But I guess u just telling me how close minded ur on the whole situation inayo endelea. Anyway my point ilikua wabongo tuache kushambulia kisa tunapishana mawazo. Tuweni kitu kimoja.
 
Wacha upashkuna wewe hunting haijaanza na mama ipo tangu Nyerere na hata kipindi cha Ngosha tena alifungua na mabucha ya kuuza nyama pori ukiacha kuchukua nyara za serikali na kupeleka nyumbani kwake (tausi na simba waliokaushwa). Tatizo wengi wenu wanafiki humu! Usukumagang unawasumbua!
Unaleta mipasho ww usie leta ushaidi zaidi ya maneno matupu...na story za sukuma geng sijui genge....hii mitano itaeleza vyema tuuu uhalisia
 
The thing is umeamua kufumbia macho the real motive ya USA through nato on russia, Kwaio umebaki na ukraine it’s a “sovereign” state. It was a deal they had back then for NATO to not expand as agreed but they still expanded. Now who broke the deal? But I guess u just telling me how close minded ur on the whole situation inayo endelea. Anyway my point ilikua wabongo tuache kushambulia kisa tunapishana mawazo. Tuweni kitu kimoja.
I'm trying to be as objective as possible, and I'm fully aware of the so called agreement, which by the way is not binding. There's really no legal agreement that restricts NATO from expanding.
 
yani bila kenya, tanzania kwisha.! ata washukuru mungu sana wako na jirani wanguvu kama kenya. yani east africa yote ina benefit. sio uganda, sio ss, sio rwanda, sio drc, sio tanganyika, na sasa sio ethiopia. kenya kwa ukanda huu ni kama vile SA kwa ukanda wa kusini mwa africa

View attachment 2160950
Hivi wewe una akili ww, kampuni 530 zime invest $1bn duuhh, kwa hesabu za haraka haraka hapo kila kampuni kwa wastani ime invest less than $2ml, ss hzo ni kampuni au mabanda ya mama ntilie? Ndio mana JPM alikuwa hawataki investors wa kikunya ni wahuni sn, just imagine 530 coys zime invest $1bn
 
Nimejiuliza sana, hiv huyo ndo alikuwa VP wakat wa Magu? Kwa kweli nimekosa jibu.. ule uchungu/moyo wa uafrica huko wap? Utanzania uko wap? Serikal inashindwa kutafuta hizo bil69 kwengine hadi uruhusu huo upuuzi? Wanasema simba wanapungua lakn wanaruhusu kuwinda na kuua? Wanasema wamasai wanaharibu maisha ya wanyama lkn wanaruhusu wenye hela kuwinda na kuua? Ase aibu sana!

Hiv zile mbaga za madini, sijui dar port zisiendelezwe kisa bagamoyo port huyu angeziweza kwel?

Hili suala angefanya aliepita tungesikia watu wakubwa hata wastaafu akina kagasheki wanalipinga, lkn cha ajabu watu wapo kimyaa
ni disaster hii mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe una akili ww, kampuni 530 zime invest $1bn duuhh, kwa hesabu za haraka haraka hapo kila kampuni kwa wastani ime invest less than $2ml, ss hzo ni kampuni au mabanda ya mama ntilie? Ndio mana JPM alikuwa hawataki investors wa kikunya ni wahuni sn, just imagine 530 coys zime invest $1bn
$1.7b sio hela kidogo babake, ata muulize Tony254 aliye itimu na shahada/bachelor of commerce (accounting option) Hon. UoN, akufafanulie zaidi
 
Hivi wewe una akili ww, kampuni 530 zime invest $1bn duuhh, kwa hesabu za haraka haraka hapo kila kampuni kwa wastani ime invest less than $2ml, ss hzo ni kampuni au mabanda ya mama ntilie? Ndio mana JPM alikuwa hawataki investors wa kikunya ni wahuni sn, just imagine 530 coys zime invest $1bn
hivi on average kampuni moja itakua imewekeza ($1.7b÷500)=$3.5m, by any standards, hio itakua ni kampuni moja kubwa sana.! aisee............

Screenshot_20220322-222144_Google.jpg
 
Sio kwamba anafurahia waukraine wanauliwa, anachao waonesha ni propaganda zinazo sambazwa na wenzetu wa west haviwiani na ukweli. Kwa mtu mwenye akilizake timamu wote tunajua NATO ndo chanzo wa vyote hivi lakini kuna wachache wetu humu ndani tunajitoa ufahamu. Ukweli ni kwamba russia bila kutumia mabavu mmarekani ata endelea kumindermine mrusi tu. Na co kwamba i condone anacho fanya putin lakn their wasn’t any other way. So I sympathies tho it’s a tragic. We all know USA ain’t shit. Na haya maswala yakushambuliana cc wenyewe humu ndani out of some egle shit tuache, tuweni kitu kimoja , understand and sympathies with one another as Tanzania’s.

Tatizo wa TZ wahumu ndani wengine umachinoo ni mwingi ambayo nikiaangalia upande wapili huko kunyanya land hawana iwapo they are just delusional tho Hawa attack each other kama sisi. Tuacheni hizo tabia sithani kama inasaidià mtu yeyote katika huu uzi
Hii vita wangeachiwa wawili tu ilishaisha zamani, tatizo marekani na Nato wanampa kiburi Ukraine kwa kuwapa silaha.
Anachokifanya mrusi ndicho ambacho marekani huwa an akifanya.
Humu kuna wajuzi wa kiinglish Wanajua kabisa what goes around comes around.
Kwa hiyo America alitegemea awe anafanya atakavyo forever?
 
I'm trying to be as objective as possible, and I'm fully aware of the so called agreement, which by the way is not binding. There's really no legal agreement that restricts NATO from expanding.
as long as you understand that when NATO ignores Russia's redlines, then Russia will act.

Russia might be a declining great power but it is a great power and great power get real twitchy when they perceive territorial threats

although I don't support this war but I do understand why Russia is in Ukraine.
 
Back
Top Bottom