GDP ya ukweli sio ya mchongo hii
GDP ya ukweli sio ya mchongo hii
Typo I meant malls instead of markets. We also have those kind of markets that you have there.Who told you Kenya doesn't have markets like those ones you are mentioning? Infact we have better than what you have in Tz. For your information, malls za Kenya inamilikiwa na wakenya.
kabisa
MY TAKE
Sasa mama usiishie hapo, kwa kuanzia jenga kama hizi Dodoma * 3, Arusha, Mwanza, Mbeya, Zanzibar na Tanga. Yaani kila jiji liwe angalau na makazi namna hii!
Unachekesha.Pesa ipo, wewe uko na bidhaa? ama ni lizembe kama jamii zenu? tuna jeuri ya pesa😆😆😂😂., Now they have hypothetically projected, not yet a reality, wait n see what will happen., nyie mnaishi kama wanyama pori tu, yaani mnalishwa na ardhi yenu tu, ndio maana chakula vijijini ni mihogo na maharage type(poverty to the core) result: utapia mlo kwa wingi, unajua u are leading in EAC with stunted growth among children, end result, slow brain growth, matokeo yake kwa ujumla, uwezo hafifu wa kifikra, wengi hamuna mental frame to survive or prosper on your own, ndio maana taifa lina watu wengi fukara Afrika, ukitoa Nigeria, DRC na Ethiopia (kwa mujibu wa World Bank), check out how most of you reason here, balaa😛😳🤣🤣🤣🤣🤣..,
Hii ndio ile bado mnadaiwa? Lipeni pesa za wenyewe broTanzania these are what we call development. Sio kuwa na interchanges mbili nchi nzima.
View attachment 2160894
Hii ndio maana ya uchumi mkubwa or rather GDP kubwa. Three months rent free.View attachment 2161726
Pesa Iko wapi wakati wakenya wanategemea chakula cha misaada toka China na UAE?Pesa ipo, wewe uko na bidhaa? ama ni lizembe kama jamii zenu? tuna jeuri ya pesa., Now they have hypothetically projected, not yet a reality, wait n see what will happen., nyie mnaishi kama wanyama pori tu, yaani mnalishwa na ardhi yenu tu, ndio maana chakula vijijini ni mihogo na maharage type(poverty to the core) result: utapia mlo kwa wingi, unajua u are leading in EAC with stunted growth among children, end result, slow brain growth, matokeo yake kwa ujumla, uwezo hafifu wa kifikra, wengi hamuna mental frame to survive or prosper on your own, ndio maana taifa lina watu wengi fukara Afrika, ukitoa Nigeria, DRC na Ethiopia (kwa mujibu wa World Bank), check out how most of you reason here, balaa😛😳
..,



Purchasing power that can't afford to buy foodSays a sorcerer who doesn't know anything concerning economy.
Kenya's purchasing power per capita is $4,500
Tanzania's purchasing power per capita is $2,700
View attachment 2161607




Show us any single Mall in Kenya which was built by GOK for the purpose of helping SMEs, all malls are privately owned targeting middle and higher classes for making profit.Just because you don't have malls in Tanzania haimanishi that you don't want them, it's only that you don't have the money to build them. If I may ask, list those malls owned by foreigners tuone kama zimefika hata Tano.



Zamani tulikuwa tunaficha data kutokana na mawazo ya kimaskini ya viongozi wetu wa enzi hizo lkn baada ya Magufuli kuingia mambo mengi akaweka hadharani na ndiyo maana ukaona tuliingia uchumi wa kati mapema kabla ya wakati.Hivi nikuulize, ni kitu gani kimewazuia kuandika na kurekodi hio gdp yenu kubwa kwenye makaratasi? Au mumekosa vitabu na kalamu tuwauzie?![]()
Ww ulisema utakosekana JF kwa kipindi kirefu, nashangaa hata mwezi haujaisha umerudi, by the way you are welcome again Mr. DonPesa ipo, wewe uko na bidhaa? ama ni lizembe kama jamii zenu? tuna jeuri ya pesa., Now they have hypothetically projected, not yet a reality, wait n see what will happen., nyie mnaishi kama wanyama pori tu, yaani mnalishwa na ardhi yenu tu, ndio maana chakula vijijini ni mihogo na maharage type(poverty to the core) result: utapia mlo kwa wingi, unajua u are leading in EAC with stunted growth among children, end result, slow brain growth, matokeo yake kwa ujumla, uwezo hafifu wa kifikra, wengi hamuna mental frame to survive or prosper on your own, ndio maana taifa lina watu wengi fukara Afrika, ukitoa Nigeria, DRC na Ethiopia (kwa mujibu wa World Bank), check out how most of you reason here, balaa😛😳
..,





Ongea pole pole🤫🤫 Niliambiwa na wenzako niwe naleta salamu mara moja moja., leo niko na free time kiasi.., napita tu, iko wapi SGR train ya umeme?..,🤔😅Ww ulisema utakosekana JF kwa kipindi kirefu, nashangaa hata mwezi haujaisha umerudi, by the way you are welcome again Mr. Don![]()
kwa "wallet" ba mzee., usitake jua hilo😂😂😅Pesa Iko wapi wakati wakenya wanategemea chakula cha misaada toka China na UAE?![]()
Wakunya mnaona apartments hzo? Co nyie jua kali type na bati nyekundu juu






Show us any single Mall in Kenya which was built by GOK for the purpose of helping SMEs, all malls are privately owned targeting middle and higher classes for making profit.
On other hand in Tanzania we are building markets which are mainly used by low and middle class people which make 85% of Tanzanians, our Government is helping it's citizen, while your country is subjecting lower class citizens to compete with higher class citizens in malls![]()
Mzaha wa nn, kwani ni uwongo kwamba tunafanya miradi yenye thamani kubwa kuliko nchi zote za EA combined?Not really, have interacted with some sharp brains from Tz., hapa ndani I guess wengine wanafanya tu mzaha, not serious, they know the truth bro, never take them that serious., though kuna very clueless and ignorant minds hapa kibao, hapo nakubali., but take it easy man.
Kwani ni uwongo tuna elimu bora inayotoa viongozi bora na experts wa kuaminika kuliko nyinyi?Mzaha wa nn, kwani ni uwongo kwamba tunafanya miradi yenye thamani kubwa kuliko nchi zote za EA combined?
Kwani ni uwongo mna njaa wakati cc hatuna?
Kwani ni uwongo tuna modern Airpots kuliko nyinyi?
Kwani ni uwongo tuna elimu bora inayotoa viongozi bora na experts wa kuaminika kuliko nyinyi?
Kwani ni uwongo miji yenu ni michafu?
Kwani ni uwongo mna Slums?
Kwani ni uwongo sisi ni wastaarabu kuliko nyinyi?
Kwani ni uwongo hamna BRT?
Kwani ni uwongo hamna electrical SGR?
Kwani ni uwongo hamna cable stayed bridges?
Kwani ni uwongo hamna 3level interchange?
Kwani ni uwongo hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures kibao zipo Dar na huwezi kuzipata Nairobi?