Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ww ni mjinga sana sasa mhindi akizaliwa america akawa na uraia wa america utasema ni raia wa india??😂😂😂 punguza ufala
Kwani kuzaliwa kwake America inatoa his/her roots? Mhindi ni mhindi it doesn't matter amezaliwa wapi.
 
Kwani kuzaliwa kwake America inatoa his/her roots? Mhindi ni mhindi it doesn't matter amezaliwa wapi.
kuzaliwa mpaka akawa raia maana yake ni raia wa tanzania kwani hapo kwenu wazungu waliozaliwa kwenu na ni raia utasema sio wakenya ???🤣🤣🤣🤣
 
kuzaliwa mpaka akawa raia maana yake ni raia wa tanzania kwani hapo kwenu wazungu waliozaliwa kwenu na ni raia utasema sio wakenya ???🤣🤣🤣🤣
Their root is not Kenya nor Tanzania. Najua that's what you don't understand, tuliwaambia uchumi wenu umeshikiliwa na wahindi plus wakenya we usually refers to origin.
 
Their root is not Kenya nor Tanzania. Najua that's what you don't understand, tuliwaambia uchumi wenu umeshikiliwa na wahindi plus wakenya we usually refers to origin.
swali ni kua atakua mkenya au sio mkenya na atakua na haki sawa na wewe mkenya au laa??
 
Tanzania these are what we call development. Sio kuwa na interchanges mbili nchi nzima.

1647974110796 .jpg
 
Nimejiuliza sana, hiv huyo ndo alikuwa VP wakat wa Magu? Kwa kweli nimekosa jibu.. ule uchungu/moyo wa uafrica huko wap? Utanzania uko wap? Serikal inashindwa kutafuta hizo bil69 kwengine hadi uruhusu huo upuuzi? Wanasema simba wanapungua lakn wanaruhusu kuwinda na kuua? Wanasema wamasai wanaharibu maisha ya wanyama lkn wanaruhusu wenye hela kuwinda na kuua? Ase aibu sana!

Hiv zile mbaga za madini, sijui dar port zisiendelezwe kisa bagamoyo port huyu angeziweza kwel?

Hili suala angefanya aliepita tungesikia watu wakubwa hata wastaafu akina kagasheki wanalipinga, lkn cha ajabu watu wapo kimyaa 🙆
Wacha upashkuna wewe hunting haijaanza na mama ipo tangu Nyerere na hata kipindi cha Ngosha tena alifungua na mabucha ya kuuza nyama pori ukiacha kuchukua nyara za serikali na kupeleka nyumbani kwake (tausi na simba waliokaushwa). Tatizo wengi wenu wanafiki humu! Usukumagang unawasumbua!
 
KDF inaenda kulinda amani congo huku amani yao inawatoa uharo 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom