Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi pesa huwa mnazipeleka wapi mana roads mnajengewa, majengo mnajengewa na sisi pia soon tunakuja kuwajengea ghorofa kubwa tu hapo pembeni mwa ka Nairobi, ss hizi pesa huwa mnapeleka wapi mana mnakusanya hivi vipesa lkn bado mnanuka njaa na umaskini wa kutisha, mishahara pia hamuwezi kulipa, hivi vipesa huwa mnavipeleka wapi?
Pesa za wenyewe
 
Matokeo ya mwaka mmja wa mama,ulikuwa mwaka wa kazi tuu.

Screenshot_20220322-101627.png

Screenshot_20220322-093437.png
 
'Nikufe' ni kiswahili cha kikenya, jua kenya ni nchi nyingine tofauti na haiwezi kua tanzania hata tone.! stop correcting us here u pipo.... kenya is a sovereign country, na haina minyororo na nchi ingine yoyote ile
Ongeeni basi kingereza au kikamba chenu msiharibu lugha za wenyewe
 
Kenya imo kwenye orodha ya Nchi zitakazopigwa mnada kutokana na madeni makubwa 😁😁😁😬😬.

Ukiiona Tanzania nitag

Screenshot_20220322-080039.png

Screenshot_20220322-080059.png

Screenshot_20220322-080217.png
 
'Nikufe' ni kiswahili cha kikenya, jua kenya ni nchi nyingine tofauti na haiwezi kua tanzania hata tone.! stop correcting us here u pipo.... kenya is a sovereign country, na haina minyororo na nchi ingine yoyote ile
[emoji1787][emoji1787]kiswahili kina misingi yake,usitulazimishe na huo ujinga wako wa "nikufe "...
 
Hizi pesa huwa mnazipeleka wapi mana roads mnajengewa, majengo mnajengewa na sisi pia soon tunakuja kuwajengea ghorofa kubwa tu hapo pembeni mwa ka Nairobi, ss hizi pesa huwa mnapeleka wapi mana mnakusanya hivi vipesa lkn bado mnanuka njaa na umaskini wa kutisha, mishahara pia hamuwezi kulipa, hivi vipesa huwa mnavipeleka wapi?
Meza wembe.
Hizo benki zenu size yake ni kama sacco na vyama vya wamama hapa Kenya.
 
Hujajibu swali zaidi ya kuonesha hasira kama upo kwenye mzunguko wako, nauliza hivyo vipesa mnavyokusanya huwa mnavipeleka wapi mana njaa iko pale pale kila siku, barabara hamna uwezo wa kujenga ila mnajengewa na Mchina, mishahara hamna uwezo wa kulipa, je hivyo vipesa vinaenda wapi? Muulizeni uhunye na mama Ngina wanavipeleka wapi hivyo vipesa.
 
Pesa za wenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hujajibu swali zaidi ya kuonesha hasira kama upo kwenye mzunguko wako, nauliza hivyo vipesa mnavyokusanya huwa mnavipeleka wapi mana njaa iko pale pale kila siku, barabara hamna uwezo wa kujenga ila mnajengewa na Mchina, mishahara hamna uwezo wa kulipa, je hivyo vipesa vinaenda wapi? Muulizeni uhunye na mama Ngina wanavipeleka wapi hivyo vipesa.

Huyo ''anakuanga'' zero kama hizo zero kwenye ID yake. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom