Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The thing is umeamua kufumbia macho the real motive ya USA through nato on russia, Kwaio umebaki na ukraine it’s a “sovereign” state. It was a deal they had back then for NATO to not expand as agreed but they still expanded. Now who broke the deal? But I guess u just telling me how close minded ur on the whole situation inayo endelea. Anyway my point ilikua wabongo tuache kushambulia kisa tunapishana mawazo. Tuweni kitu kimoja.
Na kama kuna sovereign state kwa nini tunalazimishana kuwa against Russia.
Juzi America anampiga mkwara China endapo atamsaidia Russia.
Hii Dunia kungekuwa kuna uhuru wa nchi kujiamulia mambo kwa manufaa yake Afrika Tungekuwa mbali
 
Hivi UDSM si ndio mmiliki wa Mlimani City? Au bado wanavutana na Mbotswana?

Angalau hapa wameingia agreement na state affiliate wasipigwe tena kama Mlimani City



FOeFbMfXwAMF4w1.jpeg
 
Onesha company ya mkunya kama hii company ya Mzimbabwe ilivyomwaga ajira kwa wabongo

Na sio unasema companies za wazungu kutoka kunyaland ni za Wakunya

Wakenya wanachekesha sn, yn kampuni 600 zime invest $1bn hapa Tz alafu wanakuambia wana control uchumi wa Tz

My take: Hizi sio kampuni bali ni mabanda ya mama ntilie.
 
Wanajiita wazalishaji number 1 wa avocado Africa, huku wakipiga ban nchi nzima kusafirisha avocado sababu ya kuzisafirisha zikiwa bado mbichi na hivyo kiharibu soko

Si waseme tu ukweli, saivi Tanzania ina pack na kusafirisha parachichi zake yenyewe bila mkunya?

FOeAJW5X0AIiPFV.jpeg


 
Wakenya wanachekesha sn, yn kampuni 600 zime invest $1bn hapa Tz alafu wanakuambia wana control uchumi wa Tz

My take: Hizi sio kampuni bali ni mabanda ya mama ntilie.
Tanzania yenye real GDP ya zaidi ya dollars billions 150 ishikiwe uchumi na companies zenye thamani ya dollars billions 1? 🤣🤣🤣🤣
 
Tunaona baada ya miale kuakisi, kama hakuna kiakisi, hatuoni. Kioo hufanya kazi ya kuakisi ili tuone taswira yetu. Vitu vilivyo angani huakisi miale kama kioo.

Haya madude husafiri kwa mwendo mkali sana, na yakiwa kwenye hili anga letu, msuguano hutokea kati ya dude hilo na hewa na kusababisha joto kali sana. Joto hilo huichoma hewa iliyokaribu na dude hilo nakutengeneza kitu kinachoitwa plasma, na hii inatabia ya kuzuia miale kuakisiwa. Hivyo ukituma miale kutoka chini inanyonywa na hiyo plasma, kwa hiyo hakuna uakisi ( ni sawa na anga tupu).
Ikiwa ni shida kuya intercept yenyew kwanin kusiwe n mfumo wa kudetect vifaa vinavyo beba hizo hypersonic missiles before armed ,mfn magari, dege,nyambiz nakumalizana navyo? So far Russia is wining sabab wapinzani wananza kuingia kaubarid na sizungumzi wa Ukraine bali nato, USA nawashirika wao
 
Wewe ni kenge ndugu,wanyama wameongezeka Sana na hata hilo zoezi lazima lipewe idhini na mamlaka za hifadhi za wanyama Dunia.

Uko misinformed Sana,mwaka 2020 Serikali ilianzisha rasmi bucha za wanyama pori na sababu ni kama hizo hizo hapo juu.

Shida yako wewe ni nini hasa?

Tazama kipindi cha Yule mzee wa msoga, na sasa tunaweza enda kule. Angalau JPM aliondoa huu upuuzi
IMG_1268.png
 
yani bila kenya, tanzania kwisha.! ata washukuru mola sana kwa uwepo wa kukua na jirani wapower kama kenya (the 3rd largest economy in sub saharan africa, only after nigeria and south africa). yani hela yetu dollar. east africa nzima ina benefit jili tu ya kenya. sio uganda, sio ss, sio rwanda, sio drc, sio tanganyika, na sasa sio ethiopia. kenya kwa ukanda huu ni kama vile SA kwa ukanda wa kusini mwa africa

View attachment 2160950

$1.7b
 
Nimejiuliza sana, hiv huyo ndo alikuwa VP wakat wa Magu? Kwa kweli nimekosa jibu.. ule uchungu/moyo wa uafrica huko wap? Utanzania uko wap? Serikal inashindwa kutafuta hizo bil69 kwengine hadi uruhusu huo upuuzi? Wanasema simba wanapungua lakn wanaruhusu kuwinda na kuua? Wanasema wamasai wanaharibu maisha ya wanyama lkn wanaruhusu wenye hela kuwinda na kuua? Ase aibu sana!

Hiv zile mbaga za madini, sijui dar port zisiendelezwe kisa bagamoyo port huyu angeziweza kwel?

Hili suala angefanya aliepita tungesikia watu wakubwa hata wastaafu akina kagasheki wanalipinga, lkn cha ajabu watu wapo kimyaa
Kaka mbona swala la kuwinda halijaanza leo mzee...mbona lipo toka enzi za zaman wakati wa nyerere i think..but sidhani kma angeweza hayo mengine unayosema sijui madini etc..ila kwenye kuwinda ni kama unahisi hili swala ni jipya wakati lipo muda mrefu..

Sina uhakika kama hela zote zitaenda kusaidia hizo community lakini ndo walichosema ..we have to wait and see..
 
Back
Top Bottom