Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyaland the nearest African with economy ownership ni Somalis and South Sudan then kunyans 😂😂😂😂

Ukiondoa Wasomali kunyaland leo, kesho Asubuhi unakuta hakuna kunyaland

Large scale economy ownership ni wazungu wahindi waarabu
Name your 10 biggest companies and their CEOs na mimi niname our 10 biggest and their CEOs tumalize hii story. 🤣🤣
Tukimaliza hiyo, name your 20 richest men and I name our 20 richest men tuone uchumi gani umeshikiliwa na Wahindi, Waarabu na Wasomali.
 
the kind of country and leadership we are currently experiencing with.

Wewe ni kenge ndugu,wanyama wameongezeka Sana na hata hilo zoezi lazima lipewe idhini na mamlaka za hifadhi za wanyama Dunia.

Uko misinformed Sana,mwaka 2020 Serikali ilianzisha rasmi bucha za wanyama pori na sababu ni kama hizo hizo hapo juu.

Shida yako wewe ni nini hasa?
 
Standard chartered ni international owned bank kama ilivyo equity, Kenyans own microscopic shares na hamna maamuzi yoyote kwenye general operations out of minors ya hizo entities
Shida naongea na mtu haelewi investments and stocks. Ungekua unaelewa ningekueleza what a resident account means but sasa sioni tukisaidiana. 🤣🤣🤣
 
Ichoboy, hapa sio Jo'burg.....

this is nairobi from eastleigh
1647666131130.jpg
 
Are you aware that ukiondoa wakenya Tanzania you economy will fall flat?
Name your 10 biggest companies and their CEOs na mimi niname our 10 biggest and their CEOs tumalize hii story. 🤣🤣
Ninyi muwashukuru Wasomali sana na muwaheshimu Wasomali, Mombasa port pale mizigo 70% marchandise ni Wasomali, Wasomali ndio walipa kodi wakubwa kunyaland
 
nani alikwambia huyo ni muhindi 😂😂😂 ukiskia tu mtanzania kanunua munaanza kuhaha
Sawa hawa ni wafrika😂😂😂

The rajabali brothers.
 
Attachments

  • download (4).jpeg
    download (4).jpeg
    4.2 KB · Views: 19
  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    14.7 KB · Views: 19
Wazungumze yaishe vita haina maana yoyote,watu wanakufa,mali zinaharibika hapo faida iko wapi
marekani hataki sasa huyo rais yuko tayar lakini waliomuoa, waume zake nato hawataki aachie yale majimbo kirahisi
 
Ninyi muwashukuru Wasomali sana na muwaheshimu Wasomali, Mombasa port pale mizigo 70% marchandise ni Wasomali, Wasomali ndio walipa kodi wakubwa kunyaland
Kenya is run by Kenyans. Tanzania is run Kenyans, end of story.
 
Ninyi muwashukuru Wasomali sana na muwaheshimu Wasomali, Mombasa port pale mizigo 70% marchandise ni Wasomali, Wasomali ndio walipa kodi wakubwa kunyaland
Ulianza mjadala ukitupatupa figures and 'facts' uchwara, sasa nimekuwekea the actual facts umeanza kupayukapayuka kama mwehu yani taking the discussion to the pigs. Heeeheee. Tactics of a loser. 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom