The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hii nchi inaweza kuongozwa hata na paka na ikaenda fresh tu japo hakutakuwa na maendeleo kwa kipindi ambacho inaongozwa na paka lkn hutosikia watu wakifa kwa njaa wala vita, but inapopata kiongozi kama the late, the giant, the elite, the extra ordinary leader kama Magu wala huitaji miaka 10 kufanya zaidi ya kile kitu vinchi vidogo vidogo kama Kenya inafanya.the kind of country and leadership we are currently experiencing with.![]()



