Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hugest staple food producer in kunyaland

Based in the UK, the company is run by Hasnain Roshanali Merali, Mahmood Gulamhusein Khaku and Shaukat Akberali

images (57).jpeg
 
sasa umepanic mm nimekuuliz hio picha imemaliza nairobi yote ??😃😃😃😃
so kwako nairobi ni ndogo? twende battle basi, tuzikusanye business districts zote za dar vs nbi na tuzijummlishe, tuone gani ndio soo na gani ndio pyenga
Screenshot_20220322-212405_Chrome.jpg
 
Nimejiuliza sana, hiv huyo ndo alikuwa VP wakat wa Magu? Kwa kweli nimekosa jibu.. ule uchungu/moyo wa uafrica huko wap? Utanzania uko wap? Serikal inashindwa kutafuta hizo bil69 kwengine hadi uruhusu huo upuuzi? Wanasema simba wanapungua lakn wanaruhusu kuwinda na kuua? Wanasema wamasai wanaharibu maisha ya wanyama lkn wanaruhusu wenye hela kuwinda na kuua? Ase aibu sana!

Hiv zile mbaga za madini, sijui dar port zisiendelezwe kisa bagamoyo port huyu angeziweza kwel?

Hili suala angefanya aliepita tungesikia watu wakubwa hata wastaafu akina kagasheki wanalipinga, lkn cha ajabu watu wapo kimyaa
Wapo kmy kwasababu aliye madarakani wanamuweza, probably wanafanya wanachotaka now.
 
so kwako nairobi ni ndogo? twende battle basi, tuzikusanye business districts zote za dar vs nbi na tuzijummlishe, tuone gani ndio soo na gani ndio pyenga View attachment 2160868
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani ndio umepanic kiasi hichi

kisa na mkasa kwann nairobi ni ndogo kuliko dar 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom