Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Mimi saa zingine huwa nachoka kuandika hicho kiswahili chao kibaya. Inabaki nimeandika "venye kenye zenye" coz hio ndio kiswahili chetu. In fact I should have said "Kiswahili yetu". Hahaha'Nikufe' ni kiswahili cha kikenya, jua kenya ni nchi nyingine tofauti na haiwezi kua tanzania hata tone.! stop correcting us here u pipo.... kenya is a sovereign country, na haina minyororo na nchi ingine yoyote ile
dyfre kama tukule vile? Mtu wa Mombasa haongei hivyo sema Kiswahili kibovu cha bara! Si Kenya nzima inaongea hivyo huwezi mkuta Balala au Joho anasema ukufe au nikufe au tukule! pitia clip zao zoote online uniletee evidence!Mimi saa zingine huwa nachoka kuandika hicho kiswahili chao kibaya. Inabaki nimeandika "venye kenye zenye" coz hio ndio kiswahili chetu. In fact I should have said "Kiswahili yetu". Hahaha
Kiswahili kilianzia Mombasa. Wao wanajua kiswahili hata kuwashinda nyie Watanzania wote kasoro watu wa Zanzibar na Pemba. Lamu, Mombasa, Zanzibar na Pemba ndio walioanzisha Kiswahili. Watu wa bara wa Tanzania na Kenya wameiga tu kiswahili ila sio wenyeji. Wewe kwa vile unatokea hayo maeneo ya pwani itakuwa wewe ni mwenyeji kamili. Sio hawa wengine humu wanaoiga tu.kama tukule vile? Mtu wa Mombasa haongei hivyo sema Kiswahili kibovu cha bara! Si Kenya nzima inaongea hivyo huwezi kuta balala au Joho anasema ukufe au tukule! pitia clip zao zoote online uniletee evidence!
Hahaha Russia wamefinywa m*kende hadi wenyewe wanaitisha mazungumzo.
Nani kakuongopea? Alafu huyu Gezaulole kumbe ni mpemba?Kiswahili kilianzia Mombasa. Wao wanajua kiswahili hata kuwashinda nyie Watanzania wote kasoro watu wa Zanzibar na Pemba. Lamu, Mombasa, Zanzibar na Pemba ndio walioanzisha Kiswahili. Watu wa bara wa Tanzania na Kenya wameiga tu kiswahili ila sio wenyeji. Wewe kwa vile unatokea hayo maeneo ya pwani itakuwa wewe ni mwenyeji kamili. Sio hawa wengine humu wanaoiga tu.
Hehehee........Equity ni ya wageni, KCB ni ya wageni, Keroche ni ya wageni, Britam tower ni ya wageni, UAP ni ya wageni, KICC na Times tower ni ya wageni, Suraya, Centum et al wenye wanajenga apartments Nairobi ni wageni. 🤣🤣🤣🤣 Boss usilazimishe tufanane.Nairobi inamilikiwa na nani? Majengo yote Nairobi ni Mali ya wageni, apartments zenu 90% Muhindi na muarabu, retail business yote msomali 🤣🤣🤣
pia nami huchoka sana kuandika hichi kiswahili mufti, mimi mwisho nikiandika kiswahili sanifu, ilikua ni wakati nikifanya, Insha na Riwaya katika mtihani wa KCSE.! humu jf ndo imenirudisha pale. otherwise mi ninge wish sana niende free style, yani ile sheng halisi ya kikenya, ila humu mandugu zetu wa kusini hawatoielewa. so inanibidi tu nicheze chinidyfre kama tukule vile? Mtu wa Mombasa haongei hivyo sema Kiswahili kibovu cha bara! Si Kenya nzima inaongea hivyo huwezi mkuta Balala au Joho anasema ukufe au nikufe au tukule! pitia clip zao zoote online uniletee evidence!
Kwenye kabila langu karibu 30% ya maneno kutoka kwenye kiswahili yanatamkwa hivyo hivyo kwenye lugha ya kabila languKiswahili kilianzia Mombasa. Wao wanajua kiswahili hata kuwashinda nyie Watanzania wote kasoro watu wa Zanzibar na Pemba. Lamu, Mombasa, Zanzibar na Pemba ndio walioanzisha Kiswahili. Watu wa bara wa Tanzania na Kenya wameiga tu kiswahili ila sio wenyeji. Wewe kwa vile unatokea hayo maeneo ya pwani itakuwa wewe ni mwenyeji kamili. Sio hawa wengine humu wanaoiga tu.
98% ya majengo ya Nairobi ni Mali ya wageni wala huna la kufanyaHehehee........Equity ni ya wageni, KCB ni ya wageni, Keroche ni ya wageni, Britam tower ni ya wageni, UAP ni ya wageni, KICC na Times tower ni ya wageni, Suraya, Centum et al wenye wanajenga apartments Nairobi ni wageni. 🤣🤣🤣🤣 Boss usilazimishe tufanane.
the kind of country and leadership we are currently experiencing with.
Kiswahili chake huoni jinsi kimenyooka? Sio kibovu kama chako? 😁Nani kakuongopea? Alafu huyu Gezaulole kumbe ni mpemba?
Taifa lipo mikononi kwa mwendawazimu, tutaona mengi!
mbona naona upper hill na westland ndani 😂😂😂😂South C is better than Makumbosho. evelopment in South C is spread out while in Makumbusho, there are only three decent buildings lined along the road and the rest are shacks.
This is South C
View attachment 2109156
View attachment 2109157
View attachment 2109158
kwayo, upperhill na westlands iko hapa karibu ama iko hukooo mbali............mbona naona upper hill na westland ndani 😂😂😂😂
onesha vitu kama hvi mzee acha kuruka ruka kama mkojo wa mlevi 🤣🤣🤣👇👇