Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

98% ya majengo ya Nairobi ni Mali ya wageni wala huna la kufanya

tafautisha sana, jua kenya sisi ni Capitalist sawa tu na US, UK, Australia, SA, etc. na nyinyi mtabaki kua Communist/Socialist.
kila mtu ana uhuru wa kuwekeza huku, mradi tu una capital (and hence the term capitalist), nyinyi kila kitu ni ya serikali, sio malls, sio mahospitali, sio mashule, ata naskia magari zote tz ni ya serikali sema tu kupewa least for a certain grace period of time kuimiliki.! 🤔🤔
 
20220322_143149.jpg
 
The $200 mln Kampala flyover



VS


The $600 mln Nairobi Expressway

You mean that flyover costed a third if the Nairobi expressway?
Hujajibu swali zaidi ya kuonesha hasira kama upo kwenye mzunguko wako, nauliza hivyo vipesa mnavyokusanya huwa mnavipeleka wapi mana njaa iko pale pale kila siku, barabara hamna uwezo wa kujenga ila mnajengewa na Mchina, mishahara hamna uwezo wa kulipa, je hivyo vipesa vinaenda wapi? Muulizeni uhunye na mama Ngina wanavipeleka wapi hivyo vipesa.
We unafikiria profit ya bank huwa inagawiwa raia ambao wako njaa?
 
Hapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣
List inaanzia hapa

1. The Pinnacle Tower The KSh 20 billion Pinnacle Tower under construction in Nairobi's Upper Hill area would be the tallest building in Kenya once complete. It has two adjacent towers, one with 46 floors (200.8 meters) and the other with 70 floors (300 meters).

It is being developed jointly by Hass Petroleum and the White Lotus Group managed by Indian tycoon Vijaykumar Naidu.
 
Hapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣

Kisha hapa

2. Britam Tower Standing at 200 meters, the Britam Tower is currently the tallest complete building in Kenya. The commercial building completed in 2017 is owned by the British-American Investments Company (Britam).
 
Hapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣
Hii nayo mali ya Mzungu

4. UAP Tower UAP Old Mutual Group owns the 33-storey 163 meters office complex. It temporarily became the tallest building upon its completion in 2015, surpassing the Times Tower, which held the record then
 
Hapo nimeona GTC pekee ndio foreign owned. Hivi GTC ni 98% ya majengo Nairobi? Usiforce tufanane wee kijakazi wa Waarabu.🤣🤣🤣
Mali ya Mchina

5. Nairobi Global Trade Centre Hotel Tower It has an architectural height of 140.75 meters with 35 floors above the ground. Its construction was completed in 2020 and is run by the Chinese company Avic International
 
Back
Top Bottom