Those Tz companies on the list are public listed companies but we have several larger ones that are not public listed.
Duh kanairo kadogo kichizi, kwa nyuma hapo ni naipori national park kwa mbele uslum wote 🤣Hehehe according to Tanzanian,
This area👇👇
View attachment 2109149
Is better than this👇
View attachment 2109154
👇
Hahahaha eti service dominated, ni services zipi mnazoziuza nje ya nchi na kuwaingizia billions of dollars kwenye GDP yenu?
Elimu yenu mavi kweli 🚮
Mumshukuru Mzungu kwa chai na maua yake!
South C is better than Makumbosho. evelopment in South C is spread out while in Makumbusho, there are only three decent buildings lined along the road and the rest are shacks.😂😂😂 You must be crazy unalinganisha vigorofa vya apartments vinne vitatu porini na Makumbusho.? 👇View attachment 2108217View attachment 2108216
Unakuta kuna mbwa anapokea na mshahara kabisa[emoji51]Kuna watu wamekaa ofisi za ardhi na hakuna kazi wanayofanya...imagine apa pangepimwa pakapangwa vizur hata kama nyumba duni lakini pangependeza...
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
wengine bado wanakaza haga kisa juu ya battle......ukweli haufichikiwacha niyahifadhi haya maneno ya tuusan kwenye benki.. kwa matumizi ya baadae
View attachment 2109124
Mbona "unatufinyilia" South c 4 km from CBD tusiione kwa mapana yake? 🤣🤣🤣🤣🤣South C is better than Makumbosho. evelopment in South C is spread out while in Makumbusho, there are only three decent buildings lined along the road and the rest are shacks.
This is South C
View attachment 2109156
View attachment 2109157
Sio pori aisee kuna uslum ulioshindikana 🤣🤣🤣🤣🤣Sasa iyo south c yako unaturingia nyuma ya ghorofa kuna pori, ata sio pori kwanza ni jangwa 😅😅 ebu kuwa seriasi mzee
Hii mtaa inaungana na wap naona katikati ya mji sio mbali...South C is better than Makumbosho. evelopment in South C is spread out while in Makumbusho, there are only three decent buildings lined along the road and the rest are shacks.
This is South C
View attachment 2109156
View attachment 2109157
View attachment 2109158
That's kibera.....usaidiwe vipiView attachment 2109178
Cameraman [emoji115][emoji115] kaupa mgongo huu uslum [emoji116][emoji116] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2109183
KCB ni kampuni ya Tanzania?Hahahaha eti service dominated, ni services zipi mnazoziuza nje ya nchi na kuwaingizia billions of dollars kwenye GDP yenu?
Elimu yenu mavi kweli 🚮
Mumshukuru Mzungu kwa chai na maua yake!
Hii ni Kibera? 🤣🤣🤣🤣That's kibera.....usaidiwe vipi
Hata na hiyo pori badi iko developed kuliko KijikonyamaSasa iyo south c yako unaturingia nyuma ya ghorofa kuna pori, ata sio pori kwanza ni jangwa 😅😅 ebu kuwa seriasi mzee
Hehehe South C imewaumiza🤣🤣🤣Mbona "unatufinyilia" South c 4 km from CBD tusiione kwa mapana yake? 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2109163
View attachment 2109164
View attachment 2109165
View attachment 2109166
View attachment 2109167
View attachment 2109168
South C iko along Mombasa Road.Hii mtaa inaungana na wap naona katikati ya mji sio mbali...
Anyway makumbusho ni sehemu ya kawaida sio cbd kinachofanya kunakuja juu kwa kasi ni uwekezaji unaofanyika kila siku....section ya morocco to mwenge iyo south c haitoboi...ila makumbusho pekee yake ni padogo sio pakubwa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app