Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaona unavyojiumbua!
Hii iko wapi Mombasa? Seyschelles imekuwa Mombasa?
1644124007334-png.2109589

Hehehe Mombasa ishaanza kukuchanganya🤣🤣🤣

More of Tudor

1644130008992.png

1644130045237.png

1644130088758.png
 
Kenyan GDP is generated by hardworking Kenyans both home and abroad.............countries like tz where its citizens sit on mkekas the whole day gossiping about kenya can not grow
Bro sema kwa haki Tanzania Ndio ina supply chakula kenya , Rwanda, DRC ,South Sudan

Miongoni mwa miradi mikubwa kusini ya Sahara inajengwa Tanzania na WaTanzania

95% ya Mtanzania ukimuuliza Habari ya Kenya hajui
 
Now show me this jetty that hangs boats!
1644124007334-png.2109589

That type of jetty is not in Mombasa! Only Zanzibar has that type of jetty at Hotel Verde marina! wacha wizi nyoko wewe!
Wewe ni mjinga kweli, yani picha umekwamilia iko hadi na bendera ya Kenya lakini bado umeinsist tu ati hapo sio kenya. Are you really okay upstairs?🤣🤣🤣
 
Wewe ni mjinga kweli, yani picha umekwamilia iko hadi na bendera ya Kenya lakini bado umeinsist tu ati hapo sio kenya. Are you really okay upstairs?🤣🤣🤣
so what`s a flag? kwani hamna boat zenye bendera ya kenya zanzibar? Hiyo jetty si Kunyaland!
 
namdhamini na kumuenzi sana mrh. mwl. julius kambarage nyerere, sababu aliidhamini sana kenya, ata kuupaka aina yote ya rangi,.... mara alitaja kenya kama 'ulaya',... mara kaitaja kama 'uzunguni',... mara nairobi ni 'half london'. etc.
mwalimu nyerere hoiye!! 🙌 your legacy lives on!... continue resting in power..
Mwl Nyerere alimaanisha mkoloni mwingereza alipendelea kenya akaijenga Vizuri wakati kwa Tanzania baada ya Kumpora mjerumani hakuiendeleza , mjerumani ameacha legacy ndogo Tanzania kuna Mitaa kadhaa alijenga , majengo kadhaa na makanisa Na kama mjerumani angekaa muda mrefu angeijenga kama Namibia .

Nilienda Nairobi 1987 niliona tofauti na Daressalaam.

Sasahivi stori ni nyingine mageuzi ya kimaendeleo yaliyofanyika Tanzania ni ajabu kila sekta miundombinu, afya, elimu,biashara,kilimo , teknolojia nk
 
kwani Mjerumani alibaki Namibia baada ya vita ya kwanza? alinyangànywa koloni pia!
 
Back
Top Bottom