Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Hahaha. Akikujibu unitag.Kwa hiyo Mbeya hakuna train? Kwa nini barabara ziko busy kuliko reli? Barabara yenyewe ni single carriage unategemea isiharibike?
Na hiyo reli Ili iwe na maana lazima zipatikane collector roads ambazo hazipo.